Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,400
Wee Kafiti, kitimoto apimwe kwanini? Kwani hata akiigongwa na Black Mamba hafi, leo wafikiria vi bacteria vidogodogo vitamsumbua?
aisee watu mna maneno
Wee Kafiti, kitimoto apimwe kwanini? Kwani hata akiigongwa na Black Mamba hafi, leo wafikiria vi bacteria vidogodogo vitamsumbua?
Mbona unaulizwa wapi hujibu?Kwa anayeitaja nyamA ya nguruwe tuwasiliane namba 0754431045 kg i tsh 6500 waweza kupata ata kg 300 nawasilisha

Kwani wakristo wanakula nguruwe?Hivi humu Jamii forum wote ni wakristo au mnaleta masihara....
Hii umeila wapi aisee?Duh buku sita unusu tu? Itanilipa sana hii aiseee, inapatikana wapi?? Ni tamu kama hii?? View attachment 380979
Hahahahahaa nikiwaambia mtaenda kupajaza iwe foleni tena...Hii umeila wapi aisee?
wapi iyo?Kwa anayeitaja nyamA ya nguruwe tuwasiliane namba 0754431045 kg i tsh 6500 waweza kupata ata kg 300 nawasilisha
....hii sasa longolongo...kwanini hukusema toka mwanzo?...wateja wamezidi umeingia tamaa??Kinyerezi inapatikana iyi bei niya jumla kuanzia kg50
Come on elli, semaHahahahahaa nikiwaambia mtaenda kupajaza iwe foleni tena...
Ukiwa unakwenda Mabibo Mwisho mara baada ya kupita NIT kwa mbele kuna Pub inaitwa GONGA ZOTE sasa ukiwa pale watakuonyesha hicho kijiweCome on elli, sema