Nyama ya nguruwe inapatikana

Nyama ya nguruwe inapatikana

Ebenezer-255

Member
Joined
Jan 10, 2015
Posts
45
Reaction score
8
Kwa anayeitaja nyamA ya nguruwe tuwasiliane namba 0754431045 kg i tsh 6500 waweza kupata ata kg 300 nawasilisha
 
Kwa anayeitaja nyamA ya nguruwe tuwasiliane namba 0754431045 kg i tsh 6500 waweza kupata ata kg 300 nawasilisha
Duh buku sita unusu tu? Itanilipa sana hii aiseee, inapatikana wapi?? Ni tamu kama hii??
1471100791606.jpg
 
Huyo kitimoto anapatikana wap..mbona tunarudhana roho
 
Wee Kafiti, kitimoto apimwe kwanini? Kwani hata akiigongwa na Black Mamba hafi, leo wafikiria vi bacteria vidogodogo vitamsumbua?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom