Nyama ya kitimoto bei ya jumla

Nyama ya kitimoto bei ya jumla

Mrengwa wa kulia

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2022
Posts
1,145
Reaction score
3,765
Habari.
Mimi ni mfugaji wa nyama yetu pendwa Duniani.. ya Kitimoto Tukufu

Nauza kwa bei ya jumla kuanzia kg 10
Kilo moja ni Tsh 9,000 Tu.

Nafanya delivery pia. Kwa mikoa ya Dar es Salaam na Pwani tu.

Nyama inaviwango vikubwa vya ubora fresh kutoka Shamba.
MAWASILIANO
Simu 0782589717
Isipo pokelewa tuma sms
 
Attachments

  • IMG-20250331-WA0001.jpg
    IMG-20250331-WA0001.jpg
    125.1 KB · Views: 26
  • IMG-20250329-WA0000.jpg
    IMG-20250329-WA0000.jpg
    78.6 KB · Views: 23
  • IMG-20250323-WA0022.jpg
    IMG-20250323-WA0022.jpg
    45.2 KB · Views: 21
Habari.
Mimi ni mfugaji wa nyama yetu pendwa Duniani.. ya Kitimoto Tukufu

Nauza kwa bei ya jumla kuanzia kg 10
Kilo moja ni Tsh 11,000 Tu.
Nafanya delivery pia. Kwa mikoa ya Dar es Salaam na Pwani tu.

Nyama inaviwango vikubwa vya ubora fresh kutoka Shamba.
Mimi ni mfugaji wa nyama yetu pendwa Duniani. aise!!
 
Watu kama akina Malaria 2 ikitokea siku wameonja nyama ya huyu mdudu, tena ile ambayo imekaangwa vizuri na kurostiwa plus ndizi za kukaanga zilizoanza kuiva; wallah wabillah watamaliza nyama ya mabucha yote mjini na vijijini.
 
Habari.
Mimi ni mfugaji wa nyama yetu pendwa Duniani.. ya Kitimoto Tukufu

Nauza kwa bei ya jumla kuanzia kg 10
Kilo moja ni Tsh 11,000 Tu.

Nafanya delivery pia. Kwa mikoa ya Dar es Salaam na Pwani tu.

Nyama inaviwango vikubwa vya ubora fresh kutoka Shamba.
Naona na sura Yako imeanza kuadapt😂😂🙌🙌
 
Habari.
Mimi ni mfugaji wa nyama yetu pendwa Duniani.. ya Kitimoto Tukufu

Nauza kwa bei ya jumla kuanzia kg 10
Kilo moja ni Tsh 11,000 Tu.

Nafanya delivery pia. Kwa mikoa ya Dar es Salaam na Pwani tu.

Nyama inaviwango vikubwa vya ubora fresh kutoka Shamba.
ungesindikiza na picha! huyo mnyama ana utamu wa pekee sana! sidhani kama kuna mnyama anaongoza kwa utamu duniani kama huyo! Kashika 1 duniani.
 
Back
Top Bottom