dasenior
Senior Member
- Jul 24, 2012
- 138
- 57
Jamaa mmoja bana alikuwa anafukuzia demu kitaani bila mafanikio,kila akimvizia demu anabana hataki kusikia la mnadi sala wala sauti za kanisa.
siku moja jamaa ikabidi atimbe hukohuko kwa demu anakoishi na kumkuta demu anafua viwalo vyake vya ndani yaani chupi,na mazungumzo yakaya hivi:-
jamaa-hodi
demu-karibu
jamaa-daah nimechoka sana na ninakiu mno.
demu-kwahiyo nikusaidiaje?
jamaa-aaah amina bwana mi ninaomba uniletee maji ya kunywa tu.
demu akainuka na kwenda kutekeleza kile alichoagizwa ila alichukua muda kidogo kuleta maji ila kutoka demu alishikwa na butwaa:-
demu-heeeee wewe mbona unakunywa maji ya hizo chupi nilizoanika?
jamaa-aaaaah acha hizo bwana yaani nyama uninyime wale wengine hata mchuzi nisinywe?
"hahahaaaa jamaa lilikuwa linakunywa maji yaliyokuwa yanatiririka katika zile chupi za demu"