Ndugu zangu kama mnakumbuka mr nyaradu na prof magembe wamewahi kuhudumu hii wizara ya utalii na maliasili. Je bila upendeleo unazani ni nani chaguo nafuu kwa sasa katika sector hii ya utalii?
Sitamsahau Kagasheki kwenye wizara hii. He was the best. fitna tu zilimuondoa.