DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,129
Kada wa Chama Cha Mapinduzi CCM Lazaro Nyalandu, amewaomba watanzani kujitokeza kusikiliza sera za mgombea urais kwa tiketi ya chama hicho Dkt Samia Suluhu Hassan ili ifikapo Octoba 29 mwaka huu waweze kumchangua kuliongoza Taifa kwa kipindi cha miaka mitano ijayo.
Akizungumza katika ofisi za Chama Cha Mapinduzi mkoani Mwanza Lazaro Nyarandu, amesema Dkt Samia Suluhu Hassan ametekeleza miradi ya kimkakati jijiji Mwanza ikiwemo ujenzi wa daraja la kigongo busisi, ujenzi wa meli kubwa na ya kisasa ya MV Mwanza pamoja na ujenzi wa soko kuu hivyo anastahili kuwa Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Kwa upande wake Mwenyekiti wa chama cha mapinduzi CCM mkoani Mwanza Michael Lushinde amesema wamejiandaa kuhakikisha Dkt Samia Suluhu Hassan anapata ushindi wa kishindo.