LEMBELI ALIDANGANYA KWA FAIDA YA NANI? jE YEYE NI JANG-HIL LA TEMBO?
Wakati inasomwa hiyo ripori Nyalandu hakuwepo Bungeni?
Mbona hakunyanyuka kuyasema hayo?
watu wengine ni wanafki.!!!
Sidhani kama kuna uwongo kwenye ripoti hiyo,ila ni njia ya kujaribu kujiosha taka.namuone huruma sana kwani wakati wa kuwadanganya watanzania umekwisha.Pili viongozi wa serikali hawapendi kuambiwa ukweli na pia hawapendi kuona serikali inatupiwa mawe na ukweli ukajulikana.
Nyalandu nae anatakiwa awe ameshaachia ngazi nashangaa anasubiri nini kwa sababu nae alikuwa ni kiongozi kwenye wizara ya maliasili.
Wajanja wajanja wa mjini na wapiga deal ndo wenye kuongoza maamuzi ya serikali. Who is Nyalandu,? Katokea wapi mpaka kufikia hapo alipo? Ni nani aliye nyuma yake? Na, je Ni juhudi zipi anafanya kujipatia nafasi anazozitafuta? Mimi sijui, ila nahisi naye Ni JANGA la Taifa.
Sawa kaka,nyalandu ni opotunist na fisadi wa kati,huyu kule singida kaskazini kwa umaskini wao wanamuona wa maana.Hana personality na uongoziSijawahi kumkubali huyu mtu na.kama ni madaraka anapata ya uteuzi! !!!!!!
Hii nchi ina taabu sana na viongozi hawa!!!!!
Anaongea leo as if kaletwa na mafuriko hivi kazi tarajiwa haifanyiki basi hata kuheshimu ufahamu wetu pia ni ngumu????!!!!
Tangu apewe kukaimu, dogo anadhani ndo muda wa kuinua jina ili apewe Wizara. Lakini kiufahamu, hata yeye ni out. Waziri hawezi kutenda hovyo, yeye akawa nyota. Labdabkwa uzembe wa mteuaji.
Kila siku anaropoka jipya! Ngoja tusubiri kujikomba kwake.
nlivyosikia anamsalandia faraja kota nikajua kumbe na yeye ni mtu wa mabebez kama le big show!
Amuulize Bosi wake?Mi nashangaa kwanini bado yupo!kwani wizara zao si zimetenguliwa na JK....wanajifanya hamnazo