Sawa, nani aliye msafi hata kwa 50% kwamba hana makandokando kwenye maisha yake? Kwahili Nyalandu anastahili pongezi.kama haujui mambo yalivyo kaa kimya,acha kumsifia shetani kisa kavaa nguo za malaika...sio unaropoka ropoka tu asubuhi hii....tusije tukayafukua yaliyozikwa hapa ukamchukia bure kuhusiana na hilo unalolisifia...
HAYA PONGEZI NYALANDU!Sawa, nani aliye msafi hata kwa 50% kwamba hana makandokando kwenye maisha yake? Kwahili Nyalandu anastahili pongezi.
tufafanulie ushiriki wake kwenye hili ikoje, yeye ni sponsor au ni member wa lile shirika?Salamu za jumapili kwa kila atakayesoma.
Nimeona nimpongeze Nyalandu kwa moyo wa dhati sana katika msaada kwa watoto walionusurika katika ajali ya LUCKY VICENT.
Mtaani watu wanaongea kama Nyalandu anatafuta sifa au mtaji wa kisiasa kwa jinsi alivyokuwa mstari wa mbele kusaidia matibabu kwa watoto walionusurika.
Mimi namtazama kama mtu mwenye huruma sana,mzazi mwenye uchungu,kiongozi asiye mbinafsi.Tukio halikutokra jimboni kwake lakini hakujali hilo,hapo anatafutaje kiki ya kisiasa?
Wapo wenye uwezo wa kuleta tofauti katika jamii kwa ushawushi wao tu(influence)lakini pasipo na jambo linalowaubganisha moja kwa moja huwa hawajitoi kufanya lolote,naamini NYALANDU angekuwa mbinafsi basi angekaa kimya tu,uwezo wa kula Jodari anao lakini hakuacha kufanya analoweza.
Hakufanya kwa maslahi ya kifedha,zaidi naamini atajuwa katika eneo fulani ametumia fedha zake,lakini wapo walionufaika na tukio lile.
Tuwatie moyo wenye moyo wa kujitolea,haki yake kumsifu kwa hili.
Naomba tumsifu pamoja,si lazima tueaze sawa,munaweza pia kuwaza muonavyo.
Habeeb Marhan
Kafanya kazi kubwa ipi...!?Ni Kweli Nyalandu anastahiri pongezi sana hao wanaomponda wana Chuki binafsi ila ukweli ni kwamba kafanya kazi kubwa. pia Mtu huwezi pendwa na watu wote!
Sent using Jamii Forums mobile app
USIHOJI SANA,TUMELAZIMISHWA HUMU TUMPONGEZE,MAANA TUMETAKA KUKOSOA TUKAONEKANA TUNA CHUKI,WEWE UNATAKIWA USEME TU PONGEZI NYALANDU,WAAMBIE WATU WANACHOTAKA KUSIKIA...kwa hili anastahili pongezi kwa kweli...kama huko ni kutafuta sifa ndio huko basi tunahitaji viongozi watafuta sifa........
ila alinishangaza alipowaweka watoto wake mbelembele kwenye shughuli ya kuwakaribisha watoto wale,
Nimemsifia kwa makubwa ambayo wewe hukuyaona,nikosoe kwa kufukuwa nisiyoyajua lakini yawe KATIKA HILI.kama haujui mambo yalivyo kaa kimya,acha kumsifia shetani kisa kavaa nguo za malaika...sio unaropoka ropoka tu asubuhi hii....tusije tukayafukua yaliyozikwa hapa ukamchukia bure kuhusiana na hilo unalolisifia...
Ni mwenyekiti mwenza!.tufafanulie ushiriki wake kwenye hili ikoje, yeye ni sponsor au ni member wa lile shirika?
Oponent= Opponent.If you can't beat your oponent,join him.
Habeeb Marhan
Msitari wa mwisho ndiyo wenye mantiki,kuwahi walikuwepo wengi waliwahi,kuona nini cha kufanya baafa ya kuwahi ni kuleta tofauti ya kuwahi na kuokoa maisha.Kafanya kazi kubwa ipi...!?
Tuelezee sio wote wanafahamu...!
Mengi amefanya kupitia Mgongo wa Serikali na Wahanga wenyewe wa Ajali, hivi ni nani angeshindwa kufanya aliyo yafanya....!?
Au ni kwa kuwa yeye aliwahi tu....!!?
Anyway.....PONGEZI NYALANDU..
Sent using Jamii Forums mobile app
Katika manufaa mengi unayoyajua naomba moja ututajie ili nasi tufahamu.Mleta mada humjui ....... wewe
Kwa kifupi amenufika sana na hiyo ajali
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha,mantiki ni kuwa watoto wawe na watoto wenzao,tena ingewezekana ilibidi watoto wapokelewe na watoto,ila masuala mengi yangewashinda kuyafanya kwakuwa ni WATOTO.kwa hili anastahili pongezi kwa kweli...kama huko ni kutafuta sifa ndio huko basi tunahitaji viongozi watafuta sifa........
ila alinishangaza alipowaweka watoto wake mbelembele kwenye shughuli ya kuwakaribisha watoto wale,
Hukulazimishwa,unatakiwa kuthibisha tofauti tu,kaka LUBEDE unatakiwa kutoa sababu kwanini Nyalandu hastahili pongezi.USIHOJI SANA,TUMELAZIMISHWA HUMU TUMPONGEZE,MAANA TUMETAKA KUKOSOA TUKAONEKANA TUNA CHUKI,WEWE UNATAKIWA USEME TU PONGEZI NYALANDU,WAAMBIE WATU WANACHOTAKA KUSIKIA...