Nyalandu Akisakata Dansi Ujerumani (Picha)

Status
Not open for further replies.
Watu wajue ugumu wa kazi ya uraisi kwa kumwangalia blaza Magu anavopambana,huyu alidhani uraisi ni kuvalia misuti na kumtafutia diamond Chaneli za mziki kama jah kaya alvowafundisha ndomana akautaka.
watu wa singida waliomchagua yaonekana wakimwona hivi wanarukaruka kwamba ni amazing, mtuwao anayarudi mpaka hko ulayani.
 
Aliyekuwa Waziri wa Utalii, akisakata Dansi nchini ujerumani alipokwenda kwenye maonyesho ya Utalii mjini Berlin, Daah hivi kwa style hii kama nchi tutatoboa kweli?
asante kwa picha mkuu , namuona PDG Nyalandu , yuko vizuri sana kwenye charanga , hivi huyo mwenye green ndio Aunt Ezekiel ?
 
enzi zao zishapitaaa...
wametuumiza sana tz hawa jamaaaa
acha wafos kutawala milele...lowassa akichukua 2020 atawafunga milele
 
Huyu jamaa enzi zake za uwaziri kwenye wizara yake kila mtu bata makatibu wakuu wa wizara wanalala dar wanaenda ofisini Arusha huyu alikuwa kiboko
 
Kazi na dawa
 
Kuitetea Awamu ya NNE inataka uwe na akili za ziada
 
Hakuna aliyesema ku-dance ni dhambi lakini kutumia pesa za walipa kodi kwenda UJERUMANI (Waziri) kisha tusione cha maana ulichofuata huk zaidi ya kuona picha ukiwa unasakata RHUMBA hili ni kosa kwa watanzania wote wenye kulipa kodi serikalini. anyway zama za majaribio zimepita HAPA KAZI TU.
 
Awamu ya 4 watu waliifaidi haswaa, hivi awamu hii kuna kiongoz wa kupiga picha za dizaini hii?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…