masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,410
- 14,119
Unanikumbusha mbaaaali!!!Hapo ndani kitanda cha Mabhale na mpuku wako afu unabeba kabinti ka jirani,raaha
https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=64114&d=1346940504Huo mchanga sio kijiji cha makumbusho hapo K'nyama?
Mkuu JANDO sehemu hizi hata leo ni mila za kigeni , na Ngaliba huko hawa-exist.mtoa mada nisaidie mkibalehe sio mkitoka JANDO? sisi NGALIBA AKISHAWASHUGHULIKIA NDIO TUNAINGIZWA MBALI NA VIDOSHO HALAFU BAADA YA MWEZI NDIPO WANAPOKUJA ...............
hao huja kutahiriwa mijini hao.mtoa mada nisaidie mkibalehe sio mkitoka JANDO? sisi NGALIBA AKISHAWASHUGHULIKIA NDIO TUNAINGIZWA MBALI NA VIDOSHO HALAFU BAADA YA MWEZI NDIPO WANAPOKUJA ...............
Nimemuuliza mtoa Mada hayo mafunzo ya kubalehe hakuna kukata Soksi, sasa ni mafunzo gani wanayopata angedadavua.hao huja kutahiriwa mijini hao.
Mweeee..ndaga ba kumyitu!!
Kangi ngubuka kilabo-linga mli na kafuko ka sukari,tufuta..mli mbango angutwalapo??
hao huja kutahiriwa mijini hao.
Mkuu JANDO sehemu hizi hata leo ni mila za kigeni , na Ngaliba huko hawa-exist.
Sawa na kumhadithia mwarabu ice cream jangwani!
Huko ukitaka kuvaa au kuvua soksi ni uchaguzi wa mtu, kuna mito kede kede kwa hygine na vidosho wa huko ni full kujiachia!
Malafyale Masopakyindi, imbasa silipo?