Nyahoza kuachia ngazi?

Nyahoza kuachia ngazi?

JF Member

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2014
Posts
8,200
Reaction score
11,350
Kwa mujibu wa wadau, wengi wanaona Nyahoza hajafanya kazi yake vizuri ili kuviandaa vyama na uchaguzi.

Kila chama kinajifanyie mambo yake na mwisho wa siku uchaguzi huu hautakuwa na ufanisi.

Wadau wanaonelea kuwa, hakuna uchaguzi na Nyahoza ataachia ngazi.

Ngoja tusubiri.
 
Nyahoza ndio nani??
 
Akitoka hapo atapewa uteuzi kama SIMON NYAKORO SIRO
 
Kwa mujibu wa wadau, wengi wanaona Nyahoza hajafanya kazi yake vizuri ili kuviandaa vyama na uchaguzi.

Kila chama kinajifanyie mambo yake na mwisho wa siku uchaguzi huu hautakuwa na ufanisi.

Wadau wanaonelea kuwa, hakuna uchaguzi na Nyahoza ataachia ngazi.

Ngoja tusubiri.
Tena afanye haraka sana
 
Back
Top Bottom