teac kapex
JF-Expert Member
- Jan 23, 2011
- 470
- 137
SAMSUNG BEAM 2 na Galaxy S8 zina version iliyo na projector. Inabidi simu iwe ina support hiyo featureWadau leo naomba kusaidiwa, nawezaje kuitumia simu yangu ya smartphone itumike kama projector?
Lkn pia mara nyingi ukitaka kurusha matangazo au presentation huwa tunatumia computer kama chanzo sasa je nikihitaji kuitumia simu natakiwa kuwa na nini? Projctor iliyopo ni Epson na simu ni Infinix. Nawasilisha
naona inayo miracast kuhakiki nenda setting hapo juu kwenye wireless and network kuna sehemu imeandikwa cast to screen?Hii ni infinix not 3
yap ndo hio, simu imefaulu bado projector, kaangalie model yake uilete. ila hata kama projector haina miracast unaweza ukanunua HDMI dongle ya miracast na kuipa uwezo huo,Hiyo miracast ndio hiyo inayoonekana hapo chini?
Nayo ni simu kakaInfinix nayo ni simu??
hio ni wifi mkuu,Nashukuru kwa maelezo yako lkn je kuunganisha computer na projector tunatumia HDMI na vga cable je kwa simu nitaunganisha kwa kutumia nini?
Ok nashukuru kesho nitakpofika kwenye hiyo projector nitalifanyia kazi hilihio ni wifi mkuu,
ungetumia HDMI kama simu yako ingekuwa na port ya HDMI au MHL
hio ni wifi mkuu,
ungetumia HDMI kama simu yako ingekuwa na port ya HDMI au MHL
haina mkuu, utahitaji dongle na gharama yake ni kama 60,000 hivi.View attachment 598979 Kama nilivyoahidi jana kupata model ya projector naendelea kuwasilisha hitaji langu bado liko pale pale