Nususuru ndoa yangu mwanaJf! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nususuru ndoa yangu mwanaJf!

Discussion in 'JF Doctor' started by Rasib, May 31, 2012.

 1. Rasib

  Rasib JF-Expert Member

  #1
  May 31, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 395
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Jamani naomba nipate msaada wa kujua tatizo la kuvimba kwa korodani na je, inamadhara gani kwenye ndoa yangu, nahitaji msaada jamani!
  Soma na upite tu! Kama huna cha kunishauri please
   
 2. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #2
  May 31, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,866
  Likes Received: 6,218
  Trophy Points: 280
  nenda hospitali.....
   
 3. jamii01

  jamii01 JF-Expert Member

  #3
  Jun 2, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,836
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  sina utaalam huo..
   
 4. Apolinary

  Apolinary JF-Expert Member

  #4
  Jun 2, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 4,698
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  subir+watalam waje pole sana
   
 5. measkron

  measkron JF-Expert Member

  #5
  Jun 2, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 3,713
  Likes Received: 365
  Trophy Points: 180
  Pole mkuu! Ninakushauri uende hospitali kwani inabidi daktari aone na kupata maelezo ya kina imevimba kwa muda gani? Ina maumivu? Imeanza lini? Uvimbe unatoweka unapolala? Haya ni baadhi ya maswali. Hivyo nakushauri ukamwone daktari
   
 6. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #6
  Jun 2, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,417
  Likes Received: 81,463
  Trophy Points: 280
  ...Fuata huu ushauri wa BT na kwenda hospitali haraka sana
   
Loading...