msakaa jr
JF-Expert Member
- May 18, 2017
- 6,527
- 6,732
CCM inahusikaje na maendeleo ya taifa hili?Sasa ccm wanahuskaje na mpira etii watu wengne bhana
CCM inahusikaje na maendeleo ya taifa hili?Sasa ccm wanahuskaje na mpira etii watu wengne bhana
Mkuu mbona una hasira kubwa hivi kulikoni? Biashara zinakwenda mrama nini?Hapa kazi tu
Huyu ni muhanga wa mikutano ya Dubai. Magufuli japo ananiudhi kwa baadhi ya mambo lakini nafurahi sana ninapoona watu kama mtoa mada akiumia moyoni na Magufuli.duh ht km ni kutomkubali bt hii ni too much aisee....magu anaingiaje hapa?
Mkuu naona una install uzalendoTanzania na Zambia wapi na wapi...sisi size yetu somalia..sudan kusin..lesotho..yaan wale vibonde vibonde tu..#4G
Matusi ya nini Mkuu?Mama ako umemjulisha? Fara wewe unaendekeza majungu utakufa na pressure mwehu wewe.
Ingeshinda mngesema ni kwa sababu ya Chadema?
majitu ya CCMZambia 4 - CCM 2
Huu ndio uzalendo hongera kwako mkuu.!Sijawahi kujivunia timu yangu ya taifa kabla,lakini kupitia kombe hili nimeuona mwanga fulani kuelekea kule ambapo tungependa twende ktk soka,timu imefika nusu fainali kwa kumtoa mwenyeji south Africa,pamoja na kufungwa na Zambia tumecheza soka zuri tu na bado tunasubiri kucheza mchi ya mshindi WA tatu na tunaweza kuipata.nimejivunia timu yangu ya taifa kwa kaz nzuri waliyoifanya
Dada akoNani anaye kutekenya hapo?
Siasa za kibaguzi zimelifikisha taifa hapa...Zambia 4 - CCM 2
Dada ako