Nusu Fainali UCL: PSG anashinda leo, msiwe na wasiwasi

Leo ndio ile mechi pendwa imewadia, PSG vs Man City saa 4 usiku.

Kwa nyota, siku na tarehe ya leo vinaibeba sana PSG.

Hivyo PSG leo ataibuka na ushindi tena sio haba na kuwashangaza wengi.

Kwahyo kama wewe ni mzee wa mkeka tembea na PSG uje unishukuru baadae.
Yeah right!
 
Hao PSG tunaenda kuwapasua vizuri wakija etihad kudadeeek ..


Walete tenaa


Cytzen chairman
 
Back
Top Bottom