sorry wanamichezo wenzangu... hii game/mchezo utaonyeshwa na TV/Television gani hapa bongo.. ...
Ingia youtube, NTV wanaonyesha liveMwenye uwezo atutumie link tuangalie online....
Dk 38Gemu saa ngapi wakuu?
Yanga haina moraliSIMBA wanakosa sana magoli awa jamaa naona nguvu tu sijui waliwafunga vipi Yanga