Nusu Bob Marley nusu saa ya mshale

maroon7

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2010
Posts
11,341
Reaction score
15,842
Hivi wasanii wetu wanawazaga nini mbona hata ukitafakari hupati jibu la maana ya wanachoimba? Au ndo vina... Yaani katika akili ya kawaida mtu huwezi fikiria kabisa hayo maneno au ndio ukishapiga ile kitu mashairi yanakuja tu....nachekaga sana nikiskia ule wimbo...eti nusu bob marley
 
Kama hauelewi maana yake haukuhusu, usi-force sana, jikite na miziki ya kundi lako, huko acha!
Yaonyesha umeutafsiri kama maneno yalivyo! Kuna maana kubwa iko nyuma yake ya kula bata na kuinjoi maisha ya ujana na pia msoto wa maisha!
 
reggae bring back love.Mkuu ukitaka kujua umuhimu wa mziki kaa chini then sikiliza reggae utajua nini wanazungumzia na hebu chukua time sikiliza hizi za morgan heritage utajua haa jamaa anaimba nini
 
Kama hauelewi maana yake haukuhusu, usi-force sana, jikite na miziki ya kundi lako, huko acha!
Yaonyesha umeutafsiri kama maneno yalivyo! Kuna maana kubwa iko nyuma yake ya kula bata na kuinjoi maisha ya ujana na pia msoto wa maisha!
Kwa sababu umeona video jinsi wanavyokula bata na totoz ?
 
Anyway i love the song kuna muda "i love u na basi nenda"znachosha bora nickilize huo tuu
 
Kwa sababu umeona video jinsi wanavyokula bata na totoz ?

kutokana na video pia, je kuna mahali panaonesha kuna msoto wa maisha kama nilivyosema??
Kukujibu swali lako, HAPANA, sio sababu ya video!
 
Kama hauelewi maana yake haukuhusu, usi-force sana, jikite na miziki ya kundi lako, huko acha!
Yaonyesha umeutafsiri kama maneno yalivyo! Kuna maana kubwa iko nyuma yake ya kula bata na kuinjoi maisha ya ujana na pia msoto wa maisha!
Mistari ya Bob Marley busara tupu na hamna mafumbo ya ajabu ajabu ndio maana muziki wake timeless. Mfano -on tu the philosophy that holds one man superior and another inferior has finally and permanently been discredited and abandoned the world will know no peace........very valid today as then.
 
Nadhani mtoa mada anazungumzia mashairi yaliyopo katika wimbo wa joh makini uitwao nusu nusu
 
Nusu bob marley nahisi anamaanisha ganja kama skosei
 
Everyway war,
 
Originally ni Hotuba ya Haile Selassie akihutubia United Nations... Address to the United Nations

Bob Marley alichukua mistari kutoka hapo kwenye wimbo wake...

Kama hauelewi maana yake haukuhusu, usi-force sana, jikite na miziki ya kundi lako, huko acha!
Yaonyesha umeutafsiri kama maneno yalivyo! Kuna maana kubwa iko nyuma yake ya kula bata na kuinjoi maisha ya ujana na pia msoto wa maisha!
Sasa si umueleweshe , kula bata na msoto wa maisha una-relate vipi na nusu Bob Marley Nusu Saa ya Mshale ili na yeye aelewe kama wewe... ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…