Baraka baraka j
Member
- Sep 10, 2019
- 11
- 3
Ni mhitimu wa mwaka huu natafuta alie na tempo tuwasiliane 0623985620 #
Ni mhitimu wa mwaka huu natafuta alie na tempo tuwasiliane 0623985620 #
Nursing in diplomaNi mhitimu wa mwaka huu natafuta alie na tempo tuwasiliane 0623985620 #
TempoUnatafuta Tempo au TEMBO?
YesNursing in diploma
Typing errorNursing in diploma au ni Diploma in nursing???
Ni mhitimu wa mwaka huu natafuta alie na tempo tuwasiliane 0623985620 #
Wakati hapa kathibitisha kabisa "Yes" alichokiandika ndicho anachomaanisha sasa mseme typing error mdhani ana diploma ya nursing wakati mwenzenu ana nursing ya diploma...🐒🐒Typing error
Wakati hapa kathibitisha kabisa "Yes" alichokiandika ndicho anachomaanisha sasa mseme typing error mdhani ana diploma ya nursing wakati mwenzenu ana nursing ya diploma...
Acheni upuuzi wa wengi wa waafrica.....mushaelewa ana diploma ya uuguzi anatafuta kazi msaidieni huwezi achaaa,munakua kama wachawi...kukosoa tuu.Wakati hapa kathibitisha kabisa "Yes" alichokiandika ndicho anachomaanisha sasa mseme typing error mdhani ana diploma ya nursing wakati mwenzenu ana nursing ya diploma...
Sikupatii picha ukiwa unaongea "audio lingual" kama hivi ndivyo ulivyoongea kwa maandishi.Acheni upuuzi wa wengi wa waafrica.....mushaelewa ana diploma ya uuguzi anatafuta kazi msaidieni huwezi achaaa,munakua kama wachawi...kukosoa tuu.
Acheni upuuzi wa wengi wa waafrica.....mushaelewa ana diploma ya uuguzi anatafuta kazi msaidieni huwezi achaaa,munakua kama wachawi...kukosoa tuu.
Wasiwasi wangu huyu muhitimu atageuza hesabu za dawa (badala ya 1×3 yeye atafanya 3×1)Nursing in diploma
Nenda kwenye website ya Bugando. Naona wanatafuta cadre tofauti tofauti.Ni mhitimu wa mwaka huu natafuta alie na tempo tuwasiliane 0623985620 #
Kwa elimu uliyonayo(Nursing in Diploma), Utaua wagonjwa badala ya kuwaponya. Kaa mbali na hospitali hutufai.Ni mhitimu wa mwaka huu natafuta alie na tempo tuwasiliane 0623985620 #
Tumekuelewa kaa hivyo hivyo!Sorryy ni Nursing in diploma
Wewe ndo uache upuuzi, unaona ni msomi wa kawaida hajui hata alichosomea. Mtu kasomea digrii ya manunuzi na ugavi anatwambia amesomea "Procurement and Supply in Bachelor?Acheni upuuzi wa wengi wa waafrica.....mushaelewa ana diploma ya uuguzi anatafuta kazi msaidieni huwezi achaaa,munakua kama wachawi...kukosoa tuu.