Nurse!

Kweli Mungu anajua kuumba jamani dah.....hatareeee, yaani ukiwa na mke kama huyu ndani ya nyumba ni furaha tu na hata ukitembea nae barabarani.....you feel so proud kweli una beibi.....! Jamani....lol kama hawa TZ jamani wanapatikana pande zipi jamani??
 
Huyu nesi sio wa kijiwe nongwa kweli..
 
Natamani niumwe sasa, ila sijui hospital ipi anatoa huduma huyo nesi
 
Uchochezi wa maradhi huu
 
qumamae jamani naugua lini halafu nesi aje aniuguze.

Je, ukikuta au ukiambiwa huyo nurse yuko hospitali ya taasisi nyeti kama jeshi, polisi, takukuru au usalama wa taifa bado utataka uugue kwa lengo la kutaka kufanya 'upuuzi' kule????
 
Kweli wanaume tuna shida sana, unaweza kukuta hiyo nesi kaolewa na Mme wake ana michepuko haina idadi.

Ila hawa kama bongo movie vile?
 
Pumbaaafuuu nyotee nakemea pepo la uzinzi kwa jina la YESU.
 
Huyo nurse alifariki miaka minne iliyopita nitawawekea Picha Yake wakati anaangaika na ukimwi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…