Mimi ni Muuguzi na Mkunga niliyesajiliwa, nisaidieni kupata Kazi

Mimi ni Muuguzi na Mkunga niliyesajiliwa, nisaidieni kupata Kazi

Joined
Jul 8, 2019
Posts
21
Reaction score
30
Mimi ni muuguzi na Mkunga ngazi ya diploma niko full registered na nina vyeti vyote original pamoja na experience

Kama mdau wa JF kama kituoni kwako kuna nafasi naomba unisanue.

Au una connection pls do me favor 🙏🏽

-Mm ni male
-Popote nafanya kazi

Ahsante kwa ushirikiano wako
 
Back
Top Bottom