muuguzi na mkunga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. HONOURABLE PETER

    JamiiForums Tanzania Mimi ni Muuguzi na Mkunga niliyesajiliwa, nisaidieni kupata Kazi

    Mimi ni muuguzi na Mkunga ngazi ya diploma niko full registered na nina vyeti vyote original pamoja na experience Kama mdau wa JF kama kituoni kwako kuna nafasi naomba unisanue. Au una connection pls do me favor 🙏🏽 -Mm ni male -Popote nafanya kazi Ahsante kwa ushirikiano wako
Back
Top Bottom