Emmilian paul
Senior Member
- Oct 17, 2015
- 141
- 63
Habar za mida hii wana Jamiiforum natafuta kazi kama nesi pia na mkunga. Naweza kufanya kazi sehemu yoyote ndani ya Tanzania. Elimu yangu juu ya kazi ninayoitafuta ni certificate (enrolled nurse and midwife).
Nina experience ya kazi ya mwaka 1 na miezi 6, umri wangu ni miaka 23. Nimemaliza mafunzo mwaka 2015.
Mawasiliano yangu 0758152000...
Nina experience ya kazi ya mwaka 1 na miezi 6, umri wangu ni miaka 23. Nimemaliza mafunzo mwaka 2015.
Mawasiliano yangu 0758152000...