General Jealous
Member
- Oct 6, 2015
- 28
- 11
Naitwa Dalali Mtembezi tokea jijini Dar Salaam, natafuta muwekezaji au mnunuzi katika vitu vifuatavyo.
Nina eneo la kutosha mjini posta karibu na Majani ya Chai ni Mali ya kampuni inahitajika Muwekezaji ama Mnunuzi atakae weza kununua ama kujenga na kugawana space na mmiliki wa eneo hilo kwa makubaliano ya umiliki wa pamoja.
Vile Vile nina eneo kubwa la shule maarufu jijini Dar es Salaam wilaya Kinondoni mahali ni Mbezi Beach.
Kwa maelezo zaidi ni PM.