Nunua simu hapa.

Nunua simu hapa.

Wala usiumize kichwa sana kaka. Hii ni Application tu kama zilivyo Apps nyingine, ambayo utaidownload a kuinstall katika Play Store ya Simu yako ya Android. Sasa ukisha download, itakusaidia kujua perfomance ya Simu yako. Inapima "Memory Performance", "CPU Integer Performance", "CPU Floating Point Performance", "2D 3D Graphics Performance", "SD card read-write speed", "Database IO" performance testing.
Hadi sasa Samsung Galaxy Note 3 ndio kinara wa score, ana 35165, akifuatiwa na Sony Xperia Z Ultra mwenye 34363. List Hii hapa:



Kwahiyo simu zinatofautiana scores kutokana na uwezo wake. Na simu za aina moja, Mfano Galaxy S3 zoote, zitafanana. Iwapo sasa ukakutana na S3 clone au mchina, lazima itatofautiana izo score na wewe utaweza jua kua hii ni fake.

Nadhani umenielewa kidogo. Cha ku-note ni kua, Antutu Benchmark ni Application sio kufaa, unaidownload katika simu yako ya Android, inapima uwezo wa simu yako na simu jamii yako, na sio kwamba simu ya bei kubwa ndio ina score kubwa, hapana.[/QU
UNAHITAJI SIMU AU UNATANGAZA YAKO KWENYE THREAD HII??
 
Elimu unayoitoa ni nzuri sana,NENDA JUKWAA LA SCIENCE, TECH N.K THEN TUPE MAUJANJA
 
Wala usiumize kichwa sana kaka. Hii ni Application tu kama zilivyo Apps nyingine, ambayo utaidownload a kuinstall katika Play Store ya Simu yako ya Android. Sasa ukisha download, itakusaidia kujua perfomance ya Simu yako. Inapima "Memory Performance", "CPU Integer Performance", "CPU Floating Point Performance", "2D 3D Graphics Performance", "SD card read-write speed", "Database IO" performance testing.
Hadi sasa Samsung Galaxy Note 3 ndio kinara wa score, ana 35165, akifuatiwa na Sony Xperia Z Ultra mwenye 34363. List Hii hapa:



Kwahiyo simu zinatofautiana scores kutokana na uwezo wake. Na simu za aina moja, Mfano Galaxy S3 zoote, zitafanana. Iwapo sasa ukakutana na S3 clone au mchina, lazima itatofautiana izo score na wewe utaweza jua kua hii ni fake.

Nadhani umenielewa kidogo. Cha ku-note ni kua, Antutu Benchmark ni Application sio kufaa, unaidownload katika simu yako ya Android, inapima uwezo wa simu yako na simu jamii yako, na sio kwamba simu ya bei kubwa ndio ina score kubwa, hapana.

unatisha kaka kwa elimu hapa nakulinganisha na akina njuwa wamavoko
 
SIMU ZIMEBAKI MBILI TECNO PHANTOM f7&SAMSUNG GALAXY S3. BEI LAKI 3(300,000/)KWA PHANTOM NA LAKI 5 KWA S3 (500,000/)
 
Aiii wewe galaxy haipungui zaidi ya hapo?.. laki 4 plzzz
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom