Nunua simu hapa.

Nunua simu hapa.

delako

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2012
Posts
3,054
Reaction score
2,154
Habari wana jf,Husika na kichwa cha habari hapo juu,Nauza Samsung gallaxy s3 original kwa laki tano na nusu tu ( 550,000/),Tecno phantom A+ or f7 kwa laki nne (400,000/)tu na tecno l3 kwa laki na ishirini tu(120,000/).Kila simu hipo ndani ya box na kila kitu chake.ZIMEKAMILIKA USE 0714 411041 KWA WHATSAPP OR 0756 587175(CALL).
BADIRIKO LA BEI;
Samsung galaxy s3 original kwa laki 5 tu(500,000/),Tecno Phantom A+ or f7 kwa 350,000/ name tecno l3 kwa 110,000/.Nicheki kwa namba zangu hapo juu.
KUIONA SIMU NI NUSU YA KUNUNUA..
ZIPO KTK HALI NZURI.
 
Mwisho ni laki na elfu kumi na tano, (115,000/)
 
Buy me tecno l3 kwa laki moja na ishirini elfu tu ( 120,000/)
 
Simu tajwa hapo juu bado zinapatikana.gallaxy s3 kwa laki 5 tu nimepunguza elfu hamsini, Tecno phantom kwa laki nne ( 400,000) na tecno l3 kwa laki moja na ishirini elfu tu.Nicheki kwa 0714411041.Nipo dar
 
Still simu zinapatikana na bei inazidi kupoa
galaxy s3 kwa 470,000/.
tecno phantom A+ or f7 kwa 350,000/ na
tecno l3 version 4.1.1 kwa 110,000/.Nipo dar nicheki kwa watsapp/ SMS 0714 411041.
 
Still simu zinapatikana na bei inazidi kupoa
galaxy s3 kwa 470,000/.
tecno phantom A+ or f7 kwa 350,000/ na
tecno l3 version 4.1.1 kwa 110,000/.Nipo dar nicheki kwa watsapp/ SMS 0714 411041.

Utakuwa ready ni install atuntu benchmark b4 cjanunua nkijiridhisha nkupe cash maana cloned za mchina zimezidi hapa mjini
 
Utakuwa ready ni install atuntu benchmark b4 cjanunua nkijiridhisha nkupe cash maana cloned za mchina zimezidi hapa mjini

Kuwaibia watoto wa mjini kazi.. Duh... Ukifika unaicheki, una install Atuntu unacheki score zake kabisa.. Safi sana mkali
 
Utakuwa ready ni install atuntu benchmark b4 cjanunua nkijiridhisha nkupe cash maana cloned za mchina zimezidi hapa mjini

Kwa simu hipi s3, phantom au l3?Au unataka zote?
 
Kuwaibia watoto wa mjini kazi.. Duh... Ukifika unaicheki, una install Atuntu unacheki score zake kabisa.. Safi sana mkali

Mara ya kwanza mchina tulikuwa tunaugundua kwa kava, baadae ikawangumu labda kwa software yake now mchina kaja na cloned hizi kuzijua ni kazi bila hizo tools
 
Kuwaibia watoto wa mjini kazi.. Duh... Ukifika unaicheki, una install Atuntu unacheki score zake kabisa.. Safi sana mkali

Daaah!! Brother hili neno ATUNTU limekuwa msamiati mgumu kwangu, kama hutojali unaweza kunipatia kaelimu kadogo kaka???
 
Nimeshindwa Ku upload picha na kuweka hapa jamvini but naweza kutuma kwa whatsapp. baadhi ya waliokua interested na s3 nimefanya hvyo.
 
Daaah!! Brother hili neno ATUNTU limekuwa msamiati mgumu kwangu, kama hutojali unaweza kunipatia kaelimu kadogo kaka???

Wala usiumize kichwa sana kaka. Hii ni Application tu kama zilivyo Apps nyingine, ambayo utaidownload a kuinstall katika Play Store ya Simu yako ya Android. Sasa ukisha download, itakusaidia kujua perfomance ya Simu yako. Inapima "Memory Performance", "CPU Integer Performance", "CPU Floating Point Performance", "2D 3D Graphics Performance", "SD card read-write speed", "Database IO" performance testing.
Hadi sasa Samsung Galaxy Note 3 ndio kinara wa score, ana 35165, akifuatiwa na Sony Xperia Z Ultra mwenye 34363. List Hii hapa:

Kwahiyo simu zinatofautiana scores kutokana na uwezo wake. Na simu za aina moja, Mfano Galaxy S3 zoote, zitafanana. Iwapo sasa ukakutana na S3 clone au mchina, lazima itatofautiana izo score na wewe utaweza jua kua hii ni fake.

Nadhani umenielewa kidogo. Cha ku-note ni kua, Antutu Benchmark ni Application sio kufaa, unaidownload katika simu yako ya Android, inapima uwezo wa simu yako na simu jamii yako, na sio kwamba simu ya bei kubwa ndio ina score kubwa, hapana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom