House4Sale Nunua nyumba Kibaha mjini kwa mkuu wa mkoa

Duu mkuu unataka kukimbia hapo road mapema kijanja, waulize wakazi wa kuanzia kimara mpk kiluvya watakueleza mita 120 ninini.
Pendeni kufanya vitu kwa uchunguzi hiyo barabara imetoka kukamilika miezi michache iliyopita halafu serikali itoke hapo ianze tena bomoa bomoa ya kuongeza barabara ni kitu ambacho non sense jaribu kabla haujafanya kitu na kuandika kitu uwe na uhakika nacho leo hii siwezi kusema nauza kitu halafu kiwe cha matatizo au cha utata ili faida yake iwe nini badae au mnadhani kila mtu anaepost humu ni tapeli anawaza kupata hela bila kuangalia utu wake.
 
Chache sanaa mkuu kwa hiyo nyumba, mbona unatupa nyumba kwa bei chee hivyo? Hiyo white house a. k. a kalenga house ya kibaha aliishi chief Magungo wa Msovero, kisha ww uize 50m, yan 50m?? Ongeza bei
Mpiga ngumi ukutani huumiza mkonowe kama una akili ya kufikiria utakuwa umeshapata jibu.
 
huyo binadamu nae atakua amejitakia kuumizwa milioni 50? kama unayo hiyo cash kwann usitafute sehem nyingine kiwanja cha milion8 mpaka 10 afu 40 uweke nyumba yako ambayo naweza sema ni ya kisasa
😎😎😎 eti amejitakia kuumizwa.
 
😎😎😎 eti amejitakia kuumizwa.
sasa beata na wewe unapokuwa unataja bei uwe unaangalia eneo na mali unayouza kwani ungeanza na milion 20 unadhan kungekuwa na haya yote?
 
Unapajua MKOANI? Na istoshe kuna NYUMBA Hapo!
Ujue ndio maana wabongo wengi tunafeli maana hata ukitaka kuanzisha biashara bongo utapata shida sana mwanzo lakini ikishachanganyana utaona mamilioni ya watu wanaiga halafu wanafeli pasipo kuelewa iliua na changamoto gani hiyo biashara...Nashukuru kwa kunisaidia kuwaelewesha wasio elewa maana.
 
sasa beata na wewe unapokuwa unataja bei uwe unaangalia eneo na mali unayouza kwani ungeanza na milion 20 unadhan kungekuwa na haya yote?
Huwezi kupanga bei ya kitu fulani wakati sio mmiliki na kumbuka kwamba hilo eneo lina thamani gani na laiti ungelijua hilo eneo lipo vipi sidhani hata kama ungesema maneno hayo kwamba ungeanza na 20m fika upaone na uangalie nini cha kufanya.
 
View attachment 833051
Mbona mnataka kuwaumiza binadamu wenzenu? Wewe si unaona kabisa ipo ndani ya hifadhi ya barabara?
Hauoni kama barabara imeshapita hapo au kila mwaka serikali inatengeneza barabara unajiona kwamba unaweza kugundua maeneo ambayo yapo kwenye hifadhi ya barabara kabla haujaandika kitu angalia kusoma na kuangalia picha ya hiyo kitu nini kinachozungumziwa au umetoka kuamka.
 
JF aise kuna wajuaji feki wengi sana, from great thinkers to fake thinkers, yaani mtu anatangaza kuuza kitu chake wachawi wanajaa kuharibu hali ya hewa, especially with no clue! Hiyo nyumba ya huyu mkuu ipo sehemu nzuri sana sana ipo kari u na ikulu ya mkoa wa pwani kwa wale wasioijua kibaha, ni sehemu ya .koani, haipo Morogoro road na
HAIPO KATIKA HIFADHI YA BARABARA wacheni kuharibu biashara za watu! Kama mtu hujui kitu kaa kimya, na kuwa mstaarabu
 
Kama wote mliocomment kwenye huu uzi mngekuwa mnakaa na kuwa kwa kina kama hivi nadhani msiongea maneno ambayo amna uhakika nayo kabla ya kufamya kitu tafakari.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom