BRO SANTANA JF-Expert Member Joined Jun 15, 2015 Posts 1,845 Reaction score 2,249 Jul 30, 2018 #41 Huyu jamaa kwenye matangazo na biashara kafeli
K Kembamba Member Joined Mar 30, 2017 Posts 64 Reaction score 31 Jul 31, 2018 #42 Mbao za Mawe said: Chadema Njooni mnunue Mabati mjenge Ofisi aibu gani hii. Click to expand... Aaaah kudaadeki!!!
Mbao za Mawe said: Chadema Njooni mnunue Mabati mjenge Ofisi aibu gani hii. Click to expand... Aaaah kudaadeki!!!
Elungata JF-Expert Member Joined Jan 28, 2011 Posts 40,488 Reaction score 33,674 Jul 31, 2018 #43 Mchina amesaidia sana, Kama sio mchina tungekuwa bado tunategemea kiwanda cha UFI, Kwa speed hii,miaka 20 ijayo,tutakuwa na viwanda vyetu wenyewe vya kutengeza ndege
Mchina amesaidia sana, Kama sio mchina tungekuwa bado tunategemea kiwanda cha UFI, Kwa speed hii,miaka 20 ijayo,tutakuwa na viwanda vyetu wenyewe vya kutengeza ndege