Sasa excemptions kama zipo kwanini wasitumie.., mimi naona ni makosa ya serikali yetu lege lege hata kama ni wewe kama kuna loop holes lazima uta-take advantage; mimi my concern kwa sasa naona hata majibu hawatoi (sijui mleta mada kaenda kulala au weekend ya jana alikula profit yote)Hawa wauza cement wa Lucky cement hawalipi kodi kabisaaaaaaa! Wanatumia excemptions za TIC kukwepa kodi.
Lucky Cement! Ilitumika kujengea Kilwa rd na Kajima - matokeo kila mtu apitaye barabara hiyo anayaona
Lucky Cement! Ilitumika kujengea Kilwa rd na Kajima - matokeo kila mtu apitaye barabara hiyo anayaona
:doh: Naona hapa maswali ni mengi kuliko majibu (na mleta mada ameingia mitini)
Je cement hii ni nzuri?
Je mpo mikoani ?
Je kama ni mbaya kwa tofali ni nzuri kwa mambo mengine kama floor na zege ?
Mkuu hiyo Cement unayo stock au ni kama hawa akina Zakaria na mohamedi enterprises ambao unalipia unasubir wiki 4 mzigo bado hujaletewa?na ili uweze kuletewa hadi kwenye eneo lako la biashara unatakiwa ununue kuanzia mifuko mingapi?isije ikawa ni contena zima kama wanavyotubana hawa wafanyibiashara wenye asili ya kiasia.
Huo unafuu uko wapi?kwani hivi sasa hapa Dar tunanunua mfuko mmoja kwa bei ya rejareja Tsh 14,500/= sasa huo ni unafuu gani?Helooo
mambo vipizz?? kwa wale watakao hitaji cement jumla na reja reja inapatikana
Aina ya cement ni lucky cement, Cement ni ya uhakika na inatoka nje!! Nadhani kwa wanayo ifahamu washanielewa
Kwa jumla inapatikana kwa 14000 na reja reja inapatikana kwa sh 14500
WOTE MNAKARIBISHWA!!
MAHALI :MAGOMENI MORROCO HOTEL
NOTE!!
USAFIRI UTATOLEWA BURE KWA WALE WATAKAOCHUKUA CEMENT KWA JUMLA
KWA MAELEZO ZAIDI PIGA SIMU NO
0779 31 11 11
WOTE MNAKARIBISHWA
Mkuu sipo dar ndio maana siwezi kuja ofisini kwenu, lets say kama nataka mifuko kuanzia 40; kwa sehemu kama arusha, mwanza, bukoba au shinyanga zinaweza zikafika kwa kiasi gani kwa kila mfuko.?Sorry nilikuwa busy kidogo!!! sijakimbia
offcz cement ni nzuri na cyo ya kitanzania,, hii tuna import kutoka pakistan sisi wenyewe..
Huduma hii inaptikana kwa DAR tu lakini kama unahitaji zaidi kuhusu mkoani, unaweza ukaja ofisini kabisa tukaongea
Haina ubaya katika tofali linalotengenezwa kutumia hiyo cement wala zege!!!
Trust me,its really a great cement
Mkuu huyo jamaa yupo mikoani sasa akija kwenu by the time amepakia na kupeleka kule alipo si bei itakuwa imezidi 17,500 au hata hio 19,000 ambayo ananunulia au?duh pole saana mkuu,, unanua bei kubwa saana!! njoo huku upate @ cheap price