politics observer
JF-Expert Member
- Jun 18, 2024
- 534
- 674
Gari ni hitaji la msingi sana asikwambie mtu.
Wenye akili za kikoloni watakwambia anza na nyumba.
Hatusemi nyumba sio muhimu bt ukweli utabaki kuwa ni wachache sana wenye uwezo wa kujenga nyumba bora kwa ajili y makazi kwa mkupuo.
Milion 6 unapata gari ya mkononi iliokuwa kwenye hali nzuri, hasa hizi gari ndogo. Wakati pesa hiyo hiyo huwezi pata nyumba ya mkononi, sometimes hata kiwanja unaweza pata cha mabondeni huko, haswa kwa wale wanaoishi mijini.
Nakumbuka hata simu zilivyoingia mwanzoni zilionekana anasa, leo hii ni nyenzo kuu ya mawasiliano. Internet ilionekana ni ya wasomi tuu, leo tunajionea inavyogombewa hadi vijijini huko kwa bibi zetu.
Gari now days ni hitaji la msingi sana hasa kwa kijana mwenye familia au kazi inayomtaka kuwa smart mda wote.
Mimi binafsi nilianza kumiliki gari nikiwa na kipato cha chini sana, bt adha ya usafiri, mahitaji ya kifamilia na kero nyinginezo km mvua na jua kali zilinifanya kuanza na gari ndogo aina ya IST.
Gharama za matunzo na mafuta zilikuwa almost same n public transports, cz kufika kazin ilinipasa kupanda bajaji 1 na daradara mbili hii ni kwenda peke yake, Bado hujarudi… (achilia mbali masaa ninayopoteza njiani).
Nashkuru Mungu, punctuality, personal hygiene, (hivi vilichagizwa na kuanza kutumia private car) na pia kuwa commited na majukumu yng kilinifanya kuwa promoted.
Now nimebadilisha gari, natumia toleo jipya zaidi, Na nimeanza ujenzi goba. No stress at all.
Sitaki kukumbuka siku niliyoloa mvua bamaga kipindi naenda job.
Sitaki kukumbuka ile homa ya mtoto usiku na hapakuwa n msaada wowote wa usafiri.
Sitaki kukumbuka kuchaniwa shirt kwenye mwendokasi wakati wa kugombania.
Sitaki kukumbuka ile cku tuliyoenda harusini na shemeji yenu, tukabaki kufungua mapambo ya ukumbi cz kila mmoja aliondoka na chuma yake na sisi tukabaki na mlinzi tukirequest uber bila mafanikio yoyote. (Tulilala ukumbini hiyo siku).
Ukienda club kwa lift y mwana hata mziki uchezi kwa raha… jamaa akitaka kwenda chooni tuu unamfwaa ( unaogopa kuachwa solemba).
Narudia tena…. Nunua gari bro, Aibu ndogo ndogo zinaepukika.