Nunua gari moja upate jingine bure

Nunua gari moja upate jingine bure

Hii offer iliisha siku nyingi, ilikuwa ni ya mwezi mmoja tu.
 
hiyo offer ya sbt, hizo bei ulizoandika ni fob au cif? na je, hiyo offer inapatikana pia nikinunua direct kwao au mpaka nipitie kwako?
(I mean hilo gari la nyongeza watalileta mpaka Dar au itabidi ulilipie nauli?)

Napita tu !
 
Hizi gari zipo bandarini, na hiyo bei ni CIF, tatizo zipo bandarini muda sasa, ukinunua jiandae kulipa storage.
 
Back
Top Bottom