Nunua gari kwa bei poa ya 5.5m tu,

Nunua gari kwa bei poa ya 5.5m tu,

wiseboy

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2011
Posts
2,930
Reaction score
3,314
Jaman kwa yule anaetaka kutembelea usafiri au kufanyia biashara nauza gari yangu aina ya funcargo, ipo katika hali nzuri sana, nauza sababu ninazo mbili, gari kwa sasa ipo iringa.
 
Mkuu hiyo gari baadhi tunajua ina ujazo gani
injini lakini kwanini hujaelezea kwa undani kupunguza maswali. Bandiko lako liko hafifu.
 
Back
Top Bottom