Nunua/agiza sasa Mbegu bora za Mbaazi

kilimobiznet

Member
Jun 14, 2015
25
12
MBEGU BORA ZA MBAAZI ZIMNAPATIKANA SASA... QUALITY PIGEON PEAS SEEDS AVAILABLE NOW

Habari,

Kwa wale wanahitaji mbegu bora za Mbaazi (zimethibitishwa na TOSCI) sasa mbegu zinapatikana Dar, Arusha, Morogor, Dodoma, Tanga na Lindi na Mtwara.
Kwa maelezonna wapi pa kupata piga sinu 0789856246 ama 0718664645 ama email kilimobiznet@gmail.com. Utapatiwa na maelekezo namna ya kuotesha na kutunza

Mbegu hizi ni za muda wa kati na zinazaa vizuri na mavuno yake yanakuwa ya kiwango kizuri (ukitunza na kuipa huduma) Kwani Kwa ekari moja waweza pata kg 550-650 na mbegu unahitaji kutumia kama kg 5 Kwa ekari....kwenye uoteshaji mstari Kwa mstari ni Mt 1 ama CM 100 na mmeampaka mmea ni cm 40.

Wazalishaji ama wakulima ambao wanachukua mbegu kwetu Kilimo Connect ama Tanzania Graduate Farmers Association- TGFA wataunanishwa na wataalamu Kwa ajili ya ushauri na miongozo huku tukiwahakikishia soko Kwa bidhaa zao.

Hivyo unapotoa order ama kama ushanunua mbegu basi hakikisha umetoa jina nana namba yako ya simu sahihi na sehemu ama kiasi unachootesha ama utakachootesha

Wahi sasa ili uoteshe mapema.
 

Attachments

  • 1453487589165.jpg
    1453487589165.jpg
    37.6 KB · Views: 117
  • 1453487607645.jpg
    1453487607645.jpg
    18.8 KB · Views: 101
nnapenda sana kilimo hila wasimamizi ndio shida shamba kwenda mpaka jumapili halafu unakuta mfanyakazi akijua unaenda ndio anafanyakazi kilimo kinataka usimamizi sana.
 
Inategemea na eneo lako na soko lako ama unalotarajia... Mbegu zinapatikana ukitoa oda unaletewa ama unapewa maelekezo mahali pa kuchukulia karibu na wewe
 
Back
Top Bottom