Hamna cha bifu wala mwalimu hana kitu ,ila naona hapo juu mpo wawili mmeungana na baba yake Nunda ,yaani sababu ya Nunda kupata F alijibu maneno ya kumdharau mwalimu ,baada ya baba yake kumwambia au kuliona kosa la mwanae na yeye alimponda mwalimu ,hivyo hata faza wake Nunda alipata F.:becky: