Nimeona clip moja ya polisi ITV akisema watakamata watu wenye namba za 3D kwa kuwa ni kinyume na sheria.
Iwapo namba zimepoteza ubora na ni hafifu,kuna utaratibu gani wa kupata mpya?
Nimemshangaa sana kwa maamuzi hayo ambayo ninaona ni kama ya kusumbua raia pasipo sababu za msingi.
Lengo la namba za magari ni nini?
Kama zinawakera si bora waseme tu ziondolewe kabisa.
Iwapo mna dili na makampuni yanayotengeneza hizo number plate, si mseme tu au mtoe elimu kwanza ya jinsi mtu anavyoweza kuzibadili zikiwa zimechoka kwani kuna kampuni zinazotengeza namba hafifu sana.
Hii suala la kamata kamata kwa vitu ambavyo havina madhara kwa mtu yeyote,ni uonevu usio na sababu za msingi kabisa.
Badala ya kushughukia masuala ya using i kuzuia ajali ,ninyi mmeona raia wanafaidi sana wakibandika namba nzuri kwenye magari yao.