Ruttashobolwa
anakusalimia!
eeendeleeeeaaa!! kulipa kodi.... japo wanazitumia vibaya
nilikua mdogo.....!!! Usije ukamwambia umeniona atasaga chupa anywe aisee lol. Ana wivu sijui kama chumvi duh! Next time asije!
Kweli kabisa Amorbwoy. Pia ni ujinga kumaliza form 4 ukafeli na kwenda JF CHIT-CHAT na kupost kitu kisichoeleweka mazee.
Kama kuna baadhi ya vitu sipendi vitokee tena maishani na kile ni kimojawapo!
N-way akizeeka ataacha tu.
mtumeeee!
wewe nae kama Jiwe Linaloishi!
hamnitakii mema kwny unyumba wangu!
Ruttashobolwa akijaTena nina mpango wa kukubinafsisha mazima!
PL ati unasema umeacha ze biya? Angalia Jiwe Linaloishi asiharibu taratibu za TRA za kukusanya kodi. KUNYWA BIYA BHANA
mtumeeee!
wewe nae kama Jiwe Linaloishi!
hamnitakii mema kwny unyumba wangu!
usijali tupo kwa usalama zaidi.. siyo mabaya ruta washamteka pale kona bar
Ningemshangaa Passion Lady mwili mzima kama angeacha biya.!
nijungueni tu
kisa nimeamua
kumpokea yesu!
nawaona sana!
Hakuna cha majungu wala nini Passion Lady. Zawadi yako vp umesahau?