Nukuu ya leo kwa wana MMU

Mi huwa nakufia kabisa walahi tena... Nataka nilete posa kabisa niwakomeshe akina Mr Rocky na Ntuzu tena huyu ana makelele yake... bhati nzuri tu makelele ya mpangaji hayamzuii mwenye mji kulala maana pangechimbika...

Unatakuja lini shemd? Cant wait
 
Last edited by a moderator:
Wandugu endeleeni kutuombea kaka, Mungu akipenda tutavuta majiko karibuni. KUSUDI lake likapate kusimama kwa wakati alioukusudia Yeye. Tukapate uvumilivu na saburi kusubiri wakati wake kupokea aliotuandalia sisi wanawe maana wote waliompokea aliwapa uweza wa kufanyika wana.

Nawapenda sana shemeji zangu, Hawana neno kabisa tunaheshimiana sana. Muwe na amani kijana wenu sina machachari
Asante sn Mkuu!

Hahaaa Huyu Tized wake zetu anawapenda sn aiseeee!

Mkuu uwe na amani, nitaingilia tu pale ntakapoombwa nije kutoa msaada na naahidi sitawaangusha mashemeji zangu hawa.
Apende tuu ila asiende zaidi ya hapo aise maana atakuwa kavunja sheria aise
 
Pamoja sn mkuu Tized
 
Last edited by a moderator:
Sorry kwa kutokushirikisha...!


Nachungulia ubingwa wa EPL mamito!

Nimechukia ujue.....na mimi ntaacha kukushirikisha ya kwangu. Af hiyo misamiati yako ya mpira mi ndo huwa tunashindana hapohapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…