Kwa sababu haujafafanua kuhusu Hilo neno HAUNA CHOCHOTE, sasa hivi Kuna wimbi kubwa la wanaume kukimbia majukumu ya uanaume na kujiweka kwenye majukumu ya kike na kwa hii kauli yake itachukuliwa kama kampeni mkuu hebu hizo Nukuu zenu tuwaachie wakina dangote sisi masikini tukomae tu