Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 4,809
- 15,032
Mwanamke mmoja amewahi kunambia kwamba ilimchukua muda mrefu kufahamu kwamba wanaume nao hulia.
Akanisimulia kwamba siku moja weekend alitoka nyumbani kuelekea mahali Fulani huku akiwa amemuacha mumewe nyumbani. Baada ya kufika mbali kidogo amesahau kitu nyumbani, hivyo akarudi kuchukua.
Alipofika kabla hajaingia ndani alimsikia mumewe akisononeka kwa kuongea peke yake huku akimuomba Mungu amuinue kiuchumi ili aweze kutunza familia yake kwani anahali mbaya ya kiuchumi.
Akaniambia kwamba mumewe hajawai kumuambia kama ana matatizo ya kiuchumi, anasema hali hiyo ilimfanya hata yeye kuangusha machozi kwa kutambua kuwa mumewe anapitia kipindi kigumu mno!
--------------------------------------------------------------------------
Binti Fulani ambaye ameolewa alienda kwa mama yake kilalamika kwamba mumewe hamnunulii vitu ambavyo anaviitaji.
Mama akamuuliza "Je kati ya hivyo unavyomuomba akununulie, wewe umeshawai kununua kipi??"
Binti alikaa kimya kisha akasema, "Mama lakini yeye ni mume wangu"
Mama akamjibu "Je wewe umeshawai kujua ni vitu gani mume wako anahitaji na ukamnunulia??"
Wanaume siku siku zote hificha maumivu yao.
-------------------------------------------------------------------------
Mwanamke alialikwa kutoa hotuba katika mkutano wa wanawake. Katikati mwa hotuba yake akawataka wanawake wote wanaojishughulisha na kazi mbali mbali wasimame.
Baada ya kusimama akawauliza ni wangapi hukumbuka hata kuwanunulia waume zao walau shati ama kitu chochote kile???
Wachache hufanya hivyo. Hufikiri kwamba wanaume hawana uhitaji wa kununuliwa vitu wapendavyo!!

Wanaume wengi wameoa lakini wanaishi maisha ya kipweke. Muda mwingine jitahidi hata kumtoa Out mume wako, wanaume hawako busy kila siku kama unavyofikiri!!
Inatakiwa ufahamu kwamba wanaume nao wanamaumivu na mahitaji yao pia. Usimjaji kwa vitu ambavyo hata wewe umeshindwa kujinunulia. Muda mwingine hana uwezo."

nzuri nimeiona halafu sina hela kwa sasa, plizzzz..."