huyo naye ni kilaza tu anatembelea nyota ya baba yake.
kutokana na uhalifu wa mitandao inawezekana si yeye aliye andika........ni namna ya kuchafuana.....................
Du! Haya bana na mwalimu je?Watu wenye akili na uwezo wa kuongoza nchi lazima watoke ukanda wa pwani.
Mwinyi, Mkapa, Kikwete, Membe, Makamba, ...........
Watanznia wegine ni wasindikizaji tu