Nukuu hii ya Rais Magufuli yawatoa machozi Watanzania!

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,811
Hakika hii Nukuu imetoa WatanZania machozi!

prez.jpg

HAPA KAZI TU!
 
Imani bila matendo ni bure.,..ni sawa na kukimbiza upepo....ahadi zimekuwa nyingi hatuoni kinachofanyika.wafanyakazi na familia zao kodi(P.A.Y.E) imekuwa kitanzi kwaoSerikali hailioni hilo?
 
Mungu yupi ?
kuna Lusifa,kuna earthgodess, kuna mungu wa Dragon, kuna muungu ng'ombe..
washirikina utawajua tu kwa kujinasibisha na Mungu..
 
Imani bila matendo ni bure.,..ni sawa na kukimbiza upepo....ahadi zimekuwa nyingi hatuoni kinachofanyika.wafanyakazi na familia zao kodi(P.A.Y.E) imekuwa kitanzi kwaoSerikali hailioni hilo?
Naskia stori tuuu za wakwepa kodi,sijaskia hata mmoja akiambia asalimishe hati ya kusafiria wala kuweka kolokoloni
 
Haya mambo ya mtu anafanya jambo kama yeye
halafu anatutangazia 'Mungu yuko na yeye' ni hatari sana

Makaburu waliamini Mungu yuko na wao
waliokuja kuchukua watumwa ukisoma historia waliamini kabisa Mungu yuko na wao

Hata huko Rwanda Mungu alitumika watu kuhalalisha mawazo yao...

Ni vizuri wanasiasa wakaacha kumtumia Munvgu kuhalalisha mawazo yao....

ili tuweze kuwakosoa na wao kujikosoa....

wasije siku moja kusema tukiwakosoa wao tunamkosoa Mungu aliewatuma...
 
hiyo sensa ya walia machozi umeifanyia wapi?
Unajua hawa watu wanamdhihaki sana huyu mzee. Siku akijua kuwa wanampa sifa za kebehi haki ya nani atakwenda pale Lumumba na tingatinga kuangusha ile ofisi ndogo yao.
 
Unajua hawa watu wanamdhihaki sana huyu mzee. Siku akijua kuwa wanampa sifa za kebehi haki ya nani atakwenda pale Lumumba na tingatinga kuangusha ile ofisi ndogo yao.
Ccm ni mabingwa wa fitina wanampaka mafuta kwa mgongo wa chupa ,ndio yale yaliyotokea baada ya Magufuli kurudi Muhimbili au PM kwenda bandari kumbe mtu ashatumiwa SMS ,kwenye swala la Zanzibar vivyo hivyo ila iki backfire utaskia watakavyo mruka oh tulikuambia ,
 
Back
Top Bottom