Kila laheri aisee!. Hatua ya mwisho kabla ya kukutwa na umauti, hongera sana dogo. Napenda sana jinsi waislam wanavyofunga ndoa......natamani nijitoe ufahamu nami nimtafute shekhe anifungishe japo mm ni christian
kwani mbona hata wewe ukitaka kufunga ndoa simple inafaa imefikia mahali kila mtu afany jambo lake sio kwa sababu yule kafanya sherehe kubwa basi na mimi nafanya nenda kanisani funga ndoa then umeeanda kapart chako kadogo mnapita hivi