Scorpio Me
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 6,119
- 7,950
Hayawi hayawi sasa yamekua...
Nuh na Nawal wafunga ndoa...
Hongera Nuh na mkeo Nawal....
Unaacha kutulia saa hii unasubiri ndoa ndo utulieHongera yao, mie bado nakula ujana kwanza, nikiingia kwenye ndoa natuli kabisa.
Kwani kila siku hua wanakula nini?Sasa haka mario katamlisha nini mke wake?
bado mimi nimuoe scorpio me
Tena wahi kabla sijapandisha mahariHusiogope mkuu,kabila tu ndio huwezi kubadili,lakini huu ujinga ulioletwa na wazungu pamoja na waarabu muda wowote unautupia mbali.Nuh kabadili dini na kufuata dini ya mke?nauliza