Nuclear: why IRAN and NOT ISREAL? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nuclear: why IRAN and NOT ISREAL?

Discussion in 'International Forum' started by OsamaBinLaden, Nov 25, 2009.

 1. OsamaBinLaden

  OsamaBinLaden JF-Expert Member

  #1
  Nov 25, 2009
  Joined: May 2, 2009
  Messages: 706
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  KELELE NYINGI ZIMEKUWEPO KUILAUMU IRANAI KUMILIKI NUCLEAR KIMYUME NA MKATABA WA UMOJA WA MATAIFA CHAKUSHANGAZA CHAKUSTAJABISHA ISRAEL NA WANAFANYA HIVYO HIVYO WANAVYOFANYA IRAN LAKINI ISRAEL NI SAWA IRANI NO ....HUUUU NI WAZIMU AU KICHAA SI UCHOKOZI HUUU WA WAZI ....?
  [ame]http://www.youtube.com/watch?v=oldKiP0qODo[/ame]  [ame]http://www.youtube.com/watch?v=1YZizrtgi7Q[/ame]  ZIKOWAPI HIZO SILAHAAAAA ZA MANGAMIZIIII IRAQQQQQ??? NYINYI NI VIPOFU WALIMWENGU AUUUUU????????????/
   
 2. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #2
  Nov 25, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Nchi zote zina takiwa kuondokana na silaha za nuklia iwe Marekani, Israel au Iran.
   
 3. OsamaBinLaden

  OsamaBinLaden JF-Expert Member

  #3
  Nov 25, 2009
  Joined: May 2, 2009
  Messages: 706
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mkuu nadhani huop itakuwa ni mtazamo wako nakuunga mkono lakini mbona dunia imeitolea macho irani nakutishia kuvaivamia na hali kunakina korea na israel wanajaribu makombora ya nuclear kwa ubabe likini dunia haiwatishii kuwavamia kimyaaaaa....? hapo ndio nanaposhangaaaa lol
   
 4. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #4
  Nov 25, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Everyone goes after who or what they view is a threat to them. Every country in the world does that. America knows Israel, France & the U.k. would never attack it so why would they go after them? Ndiyo maana mimi nasema solution ni nchi zote zisiwe nazo because they is no trust between them. Maybe I should ask you, if you were the American or Israeli president what would you have done?
   
 5. OsamaBinLaden

  OsamaBinLaden JF-Expert Member

  #5
  Nov 25, 2009
  Joined: May 2, 2009
  Messages: 706
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  naona wenzangu wengeniua maaana nisingekubaliana na hata moja katika uwonevu wanaoufanya na msema kweli hapendwi ...wengenimaliza...yasingitokea hayo mauaji yote...niombee niwe mimi....osama.
   
 6. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #6
  Nov 25, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Kama wewe ni msema kweli kama unavyo sema kwa nini hauwi objective na una laumu Marekani tu. Ungekua msema kweli usinge angalia tu matokeo bali ungesoma na kujifunza nini kime pelekea mtu kureact in a certain way. Wewe ni moja ya wale watu ambao moja kwa moja unaweka lawama kwa mtu aliye mpiga mwenzake bila kuangalia ugomvi ulianzaje. Wewe siyo msema ukweli bali what you are trying to do ni kutetea upande wako & that is the truth. Since Marekani ni majority Wakristo basi wewe unaona ni vita dhidi ya Waislamu. You won't admit it but you know that is the truth.
   
 7. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #7
  Nov 25, 2009
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280
  Nakubaliana nawewe OsamaBinLaden Wazungu ni Watu wabaya sana duniani wanapenda kuwakandamiza watu kwa Maslahi yao wenyewe Bush amemuondosha Saadam Husein alitemegea waarabu Watamuunga mkono wapi ameona cha mtema kuni huko IRAQ mpaka sasa hakuna Amani
  Amani iliyokuwepo IRAQ ni ya mdomo mtupu sasa Bush amekwenda kumtowa Saadam Husein kwa Maslahi ya ISRAIL Tu Wairaki wanapata shida sana kwao yeye Bush yupo [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/List_of_Governors_of_Texas"] Texas[/ame] Mwenyeezi Mungu ndio atakaye mlipa Ndugu George Bush kwa makosa aliyoyatenda ameen
   
 8. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #8
  Nov 26, 2009
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280
  Weapons of
  mass destruction
  [​IMG] By type [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Biological_warfare"]Biological[/ame]
  [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Chemical_warfare"]Chemical[/ame]
  [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Nuclear_weapon"]Nuclear[/ame]
  [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Radiological_weapon"]Radiological[/ame] By country [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Albania_and_weapons_of_mass_destruction"]Albania[/ame]
  [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Algeria_and_weapons_of_mass_destruction"]Algeria[/ame]
  [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Argentina_and_weapons_of_mass_destruction"]Argentina[/ame]
  [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Australia_and_weapons_of_mass_destruction"]Australia[/ame]
  [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Brazil_and_weapons_of_mass_destruction"]Brazil[/ame]
  [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Bulgaria_and_weapons_of_mass_destruction"]Bulgaria[/ame]
  [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Canada_and_weapons_of_mass_destruction"]Canada[/ame]
  PR China
  [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/France_and_weapons_of_mass_destruction"]France[/ame]
  [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Germany_and_weapons_of_mass_destruction"]Germany[/ame]
  [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/India_and_weapons_of_mass_destruction"]India[/ame]
  [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Iran_and_weapons_of_mass_destruction"]Iran[/ame]

  [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Israel_and_weapons_of_mass_destruction"]Israel[/ame] [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Japan_and_weapons_of_mass_destruction"]Japan[/ame]
  [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Netherlands_and_weapons_of_mass_destruction"]Netherlands[/ame]
  [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/North_Korea_and_weapons_of_mass_destruction"]North Korea[/ame]
  [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Pakistan_and_weapons_of_mass_destruction"]Pakistan[/ame]
  [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Poland_and_weapons_of_mass_destruction"]Poland[/ame]
  [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Romania_and_weapons_of_mass_destruction"]Romania[/ame]
  [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Russia_and_weapons_of_mass_destruction"]Russia[/ame]
  [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Nuclear_program_of_Saudi_Arabia"]Saudi Arabia[/ame]
  [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/South_Africa_and_weapons_of_mass_destruction"]South Africa[/ame]
  [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Swedish_nuclear_weapon_program"]Sweden[/ame]
  [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Syria_and_weapons_of_mass_destruction"]Syria[/ame]
  [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Republic_of_China_and_weapons_of_mass_destruction"]Taiwan (ROC)[/ame]
  [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/United_Kingdom_and_weapons_of_mass_destruction"]United Kingdom[/ame]
  [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/United_States_and_weapons_of_mass_destruction"]United States[/ame] [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/List_of_weapons_of_mass_destruction_treaties"]List of treaties[/ame]

  [ame]http://en.wikipedia.org/wiki/Weapon_of_mass_destruction[/ame]
   
Loading...