NUCLEAR WEAPONS

NUCLEAR WEAPONS

ward41

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2022
Posts
749
Reaction score
2,540
Kwa wale waliosoma physics na chemistry tunaomba msaada wenu kuhusu hizi silaha za nuclear ambazo Russia amekuwa akitishia mara Kwa mara kwamba anaweza kuzitumia.
JE, zikitumika usalama wa Dunia utakuwaje? JE, usalama wa Russia utakuwaje? Uwezo wa nuclear wa Russia na USA ukoje. Juzi trump katamba kwamba USA wana most advanced nuclear weapons kuliko taifa lolote.
 
Kuhusu usalama wa dunia hakuna mwenye jibu la 100% kwasababu bado hayajatua ardhini tukiacha yale ya huko hiroshima. Zaidi madhara utakayo ambiwa ni approximations tu za kimahesabu kulingana na ukubwa na aina ya bomu lenyewe ila jua tu madhara yatakuwa makubwa.
 
Katika kitu ambacho mwanadamu atajutia ni ugunduzi WA nuclear weapons hii ni habari nyingine kwenye uhai WA mwanadamu..
Madhara yake sio Kwa wanadamu pekeyake Bali atmosphere yote inaharibika,Kwa mfano Leo hii yakaanza kutumia Ukraine usifikiri huku Tanzania tutabaki salama Sana kwasababu anga lote la dunia litaharibika na sumu ya nuclear power itaenea baharini na angani pia.

ikipigwa leo kwenye mji Kyiv watu wote watahamishwa na hakuna kiumbe ataweza kuishi

Yani sijui mionzi yake ipoje eti hata mchicha tu unakuta umeathirika vipi mlaji? Sea food itakuwa mwisho oxygen ndio hivyo tena. Ila ardhi hii imeficha mengi huko kwenye matabaka ya chini kabisa.
 
Kwa wale waliosoma physics na chemistry tunaomba msaada wenu kuhusu hizi silaha za nuclear ambazo Russia amekuwa akitishia mara Kwa mara kwamba anaweza kuzitumia.
JE, zikitumika usalama wa Dunia utakuwaje? JE, usalama wa Russia utakuwaje? Uwezo wa nuclear wa Russia na USA ukoje. Juzi trump katamba kwamba USA wana most advanced nuclear weapons kuliko taifa lolote.
... hivi kuna physics ya Tanzania inaweza kujibu hayo maswali kweli? Sidhani. By the way, akili inanituma kwamba physics wanazotuletea huku ni fake, watakuwa na physics zao sio kwa madude hayo wanayo-develop!
 
Ikipigwa leo basi siku ya pili raisi zelensky atanyosha mikono juu na kukubali kushindwa vita.... MUNGU mwenyewe asimame Tu kwenye kichwa cha Putin akumbuke dunia ni zaidi ya marekani na Russia
 
Tunafahamu kwamba ni mataifa takriban 9 yenye hizi zana za nyuklia japo zinatofautiana uwezo kati ya nchi na nchi.

Mmeulizwa huyo anayetumia nyuklia kama majibu ya kukata kwake tamaa je yeye nini hatima yake katika mukhtadha huu? Na umeshaambiwa kwamba nyuklia ina Aerosal effects sasa nini hatima ya huyo mpigaji wa nyuklia.

Kwa mantiki hiyo basi ni kwamba hakuwezi kupatikana mshindi kwenye vita vya nyuklia hivyo haya anayosema Putin ya kwamba sijui atatumia nyuklia ni vitisho tu vya kujihami asipigwe lkn hao anaowatisha wanaelewa na ndio maana hata hawamjibu.
 
Asilimia kubwa ya watu wa taifa hili huwa wanasoma ili kujibu mitihani. Sitashangaa kama hao uliowaita watashindwa kutupatia maelezo ya kina kuhusu hii mada.

Pia sitashangaa kama atatokea mtu aliesomea literature, ila akaelezea vizuri kabisa na tukaelewa. Ndio nchi yetu hii. Ukihitaji maelezo, usibague watoaji wa hayo maelezo!
 
Basi ngoja tumuulize Mzee ghalib Bilal huyu ni mtaalamu WA nuclear power (nishati) pengine atakuwa anajua na nuclear weapons
 
Inawezekana mzee ni noma kwa nuclear kwa vitendo ndo maana analindwa na UN ili asifundishe hii kitu kwa wengine.

Mwingine alikuwa marehemu Pius Mwandu(R.I.P)
 
Tunafahamu kwamba ni mataifa takriban 9 yenye hizi zana za nyuklia japo zinatofautiana uwezo kati ya nchi na nchi.

Mmeulizwa huyo anayetumia nyuklia kama majibu ya kukata kwake tamaa je yeye nini hatima yake katika mukhtadha huu? Na umeshaambiwa kwamba nyuklia ina Aerosal effects sasa nini hatima ya huyo mpigaji wa nyuklia.

Kwa mantiki hiyo basi ni kwamba hakuwezi kupatikana mshindi kwenye vita vya nyuklia hivyo haya anayosema Putin ya kwamba sijui atatumia nyuklia ni vitisho tu vya kujihami asipigwe lkn hao anaowatisha wanaelewa na ndio maana hata hawamjibu.
Hawajibu!!?
Marekani kila siku anahubiri "hataki kufanya jambo lolote litakalopelekea kupambana na Russia moja kwa moja".
Na ndio sababu wanapambana nae indirect.
Nikweli madhara yatakuwa makubwa sana. Na ukiwahiwa inawezekana ikawa ndio mwisho wako. Itategemea umejiandaaje na " pigo la mwisho" na ujasusi wa mpinzani wako asijue umejiandaaje kwa pigo la mwisho. Kwani akijua ataanza kushambulia uwezo wako wa kurudisha pigo,kisha ndipo akunyuke kukumaliza. Mfano,Israel ana nyambizi tano. Zimesheheni makombora ya nukes. Na anadai kuwa ni watu wachache sana wanaojua wapi zilipo. Na hilo ndio pigo lake la mwisho pale atakapokuwa kashindwa vita. Ila mrusi anadai anajua zilipo na anazifuatilia kila siku kwa saa 24. Inamaana akitaka kuipiga Israel ataanza na hizi ili kumzuia kujibu.

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 
Kwa wale waliosoma physics na chemistry tunaomba msaada wenu kuhusu hizi silaha za nuclear ambazo Russia amekuwa akitishia mara Kwa mara kwamba anaweza kuzitumia.
JE, zikitumika usalama wa Dunia utakuwaje? JE, usalama wa Russia utakuwaje? Uwezo wa nuclear wa Russia na USA ukoje. Juzi trump katamba kwamba USA wana most advanced nuclear weapons kuliko taifa lolote.
 
... hivi kuna physics ya Tanzania inaweza kujibu hayo maswali kweli? Sidhani. By the way, akili inanituma kwamba physics wanazotuletea huku ni fake, watakuwa na physics zao sio kwa madude hayo wanayo-develop!
Kama wewe hujiamini endelea kutokujiamini wewe mwenyewe tu,tunao wasomi wengi kwenye hiyo kada,mmoja wapo ambae hata wewe unamfahamu,ni prof, mohamed gharib bilali,
 
... lete tangible outputs achana na vyeti!
 
... hivi kuna physics ya Tanzania inaweza kujibu hayo maswali kweli? Sidhani. By the way, akili inanituma kwamba physics wanazotuletea huku ni fake, watakuwa na physics zao sio kwa madude hayo wanayo-develop!

Same physics, different intentions
Kama kusoma tumesoma sana ila applicationnnchi zetu za africa ni 0, ata bby kutengeneza generator hatujaweza sembuse hyo advanced physics,
Jibu ni wanatuletea physics ila wanajua hatuwezi kuitumia na kuitumia ni gharama kias kwamba hatuwezi iapply, na mara nying inafundishwa nuclear physics ya kuproduce umeme sio bomb maana kutengeneza bomb kunahitaji kupurify uranium na kutengeneza Uranium 235 isotope ambayo ni very tricky na unstable which we cant afford
 
Katika kitu ambacho mwanadamu atajutia ni ugunduzi WA nuclear weapons hii ni habari nyingine kwenye uhai WA mwanadamu..
Madhara yake sio Kwa wanadamu pekeyake Bali atmosphere yote inaharibika,Kwa mfano Leo hii yakaanza kutumia Ukraine usifikiri huku Tanzania tutabaki salama Sana kwasababu anga lote la dunia litaharibika na sumu ya nuclear power itaenea baharini na angani pia.

ikipigwa leo kwenye mji Kyiv watu wote watahamishwa na hakuna kiumbe ataweza kuishi

Kitakachotokea ni nchi zitazopigana zitaharibiana sana kiasi kwamba ata maeneo mengi yao hayatakalika kwa miaka kadhaa, ila sehem nyingine zitakalika ambazo mabomb yatapiga kwa mbali, nchi nyingi zitazojihusisha na vita zitaharibiana kana kwamba sehem kubwa yao na watu asilimia kubwa wa nchi hizo hawatokuwepo
Hesabu iko hivi, 5 nukes for 1 big city kama New York, au 1 nuke kwa small city kama Nairobi

Ila dunia itaendelea kawaida na kuna uwezekano baada ya apo dunia ikawa nchi moja,
Hakuta kuwa na major change kwetu tulio mbali uku Africa, na the world(as they know it ) will end uko kwao, ni nchi nyingi ulaya na marekani zitakuwa chini yetu kiuchumi, serikali nyingi zitacollapse na UN itakufa, dunia itaingia katika period of darkness kwakuwa dunia yetu tunayoijua ni dunia ya mfumo uliotengenezwa na wazungu
 
Same physics, different intentions
Kama kusoma tumesoma sana ila applicationnnchi zetu za africa ni 0, ata bby kutengeneza generator hatujaweza sembuse hyo advanced physics,
Jibu ni wanatuletea physics ila wanajua hatuwezi kuitumia na kuitumia ni gharama kias kwamba hatuwezi iapply, na mara nying inafundishwa nuclear physics ya kuproduce umeme sio bomb maana kutengeneza bomb kunahitaji kupurify uranium na kutengeneza Uranium 235 isotope ambayo ni very tricky na unstable which we cant afford
You are right
 
Kitakachotokea ni nchi zitazopigana zitaharibiana sana kiasi kwamba ata maeneo mengi yao hayatakalika kwa miaka kadhaa, ila sehem nyingine zitakalika ambazo mabomb yatapiga kwa mbali, nchi nyingi zitazojihusisha na vita zitaharibiana kana kwamba sehem kubwa yao na watu asilimia kubwa wa nchi hizo hawatokuwepo
Hesabu iko hivi, 5 nukes for 1 big city kama New York, au 1 nuke kwa small city kama Nairobi

Ila dunia itaendelea kawaida na kuna uwezekano baada ya apo dunia ikawa nchi moja,
Hakuta kuwa na major change kwetu tulio mbali uku Africa, na the world(as they know it ) will end uko kwao, ni nchi nyingi ulaya na marekani zitakuwa chini yetu kiuchumi, serikali nyingi zitacollapse na UN itakufa, dunia itaingia katika period of darkness kwakuwa dunia yetu tunayoijua ni dunia ya mfumo uliotengenezwa na wazungu
Kwa tecknolojia ya leo, nuclear ni hatari si kwa huko mbali tu, hata huku.
 
... hivi kuna physics ya Tanzania inaweza kujibu hayo maswali kweli? Sidhani. By the way, akili inanituma kwamba physics wanazotuletea huku ni fake, watakuwa na physics zao sio kwa madude hayo wanayo-develop!
Yupo Bilal ni gwiji la physics.
 
Tunafahamu kwamba ni mataifa takriban 9 yenye hizi zana za nyuklia japo zinatofautiana uwezo kati ya nchi na nchi.

Mmeulizwa huyo anayetumia nyuklia kama majibu ya kukata kwake tamaa je yeye nini hatima yake katika mukhtadha huu? Na umeshaambiwa kwamba nyuklia ina Aerosal effects sasa nini hatima ya huyo mpigaji wa nyuklia.

Kwa mantiki hiyo basi ni kwamba hakuwezi kupatikana mshindi kwenye vita vya nyuklia hivyo haya anayosema Putin ya kwamba sijui atatumia nyuklia ni vitisho tu vya kujihami asipigwe lkn hao anaowatisha wanaelewa na ndio maana hata hawamjibu.
Rubani aliyepiga kule Hiroshima aliishi miaka mingi tu.
 
Back
Top Bottom