NUCLEAR WEAPONS

NUCLEAR WEAPONS

Same physics, different intentions
Kama kusoma tumesoma sana ila applicationnnchi zetu za africa ni 0, ata bby kutengeneza generator hatujaweza sembuse hyo advanced physics,
Jibu ni wanatuletea physics ila wanajua hatuwezi kuitumia na kuitumia ni gharama kias kwamba hatuwezi iapply, na mara nying inafundishwa nuclear physics ya kuproduce umeme sio bomb maana kutengeneza bomb kunahitaji kupurify uranium na kutengeneza Uranium 235 isotope ambayo ni very tricky na unstable which we cant afford
.... shukran Mkuu at least wewe umenielewa. Achana na hayo ma-uranimu, hata simple tools tu physics zetu hazijaweza kutusaidia.
 
Inawezekana mzee ni noma kwa nuclear kwa vitendo ndo maana analindwa na UN ili asifundishe hii kitu kwa wengine.

Mwingine alikuwa marehemu Pius Mwandu(R.I.P)
Gahalib Bilal analindwa na UN???
 
kwa kifupi ni kwamba :
nuclear weapons =uranium elements(heavy metal which decay with specific half life slowly )
during their decay they emit high energy radiation that destroy living organism cells.......
in the living organism cells there is organelles in the nucleus that posses DNA materials, ......

radiation emitted by these elements while in their decay can penetrate living organism cells and change their nature.....
shortly are very harmful and takes long time to last.
take an examples of less energy radiation of X-rays on the bodies of organism, and not advised to take regularly....

let end here
 
... hivi kuna physics ya Tanzania inaweza kujibu hayo maswali kweli? Sidhani. By the way, akili inanituma kwamba physics wanazotuletea huku ni fake, watakuwa na physics zao sio kwa madude hayo wanayo-develop!
Mkuu ukiacha nuclear, je tunajua nani alichora ramani ya dunia na mwaka gani na yeye akiwa wapi?
 
kwa kifupi ni kwamba :
nuclear weapons =uranium elements(heavy metal which decay with specific half life slowly )
during their decay they emit high energy radiation that destroy living organism cells.......
in the living organism cells there is organelles in the nucleus that posses DNA materials, ......

radiation emitted by these elements while in their decay can penetrate living organism cells and change their nature.....
shortly are very harmful and takes long time to last.
take an examples of less energy radiation of X-rays on the bodies of organism, and not advised to take regularly....

let end here
... hebu eleza kwa lugha ambayo hata bibi zetu kule vijijini wanaweza kuelewa; huo ndio usomi. Decay; decay ndio nini? Uranium inaozaje?
 
... hivi kuna physics ya Tanzania inaweza kujibu hayo maswali kweli? Sidhani. By the way, akili inanituma kwamba physics wanazotuletea huku ni fake, watakuwa na physics zao sio kwa madude hayo wanayo-develop!
Kama gari mpaka litumike huko ndio tununue sisi inakuaje usome physics mpya
 
... hebu eleza kwa lugha ambayo hata bibi zetu kule vijijini wanaweza kuelewa; huo ndio usomi. Decay; decay ndio nini? Uranium inaozaje?
ata mimi napenda kiswahili kama wewe ndugu yangu, sema maarifa haya hayana kiswahili, nianze kusoma sijui ata kiswahili chake course hiyo....
kwa mfano kuna professional term hapo ambazo kwa lugha ya bibi zangu na wako...halflife=muda utakaotumika kiasi halisi cha mwanzo kujimega hadi nusu yake,
decay= kuvunjika vunjika kwa vitu vya mionzi au radioactive material...
kiswahili ngumu kuelezea atomic physics
 
Rubani aliyepiga kule Hiroshima aliishi miaka mingi tu.
Hizi strategic nuclear weapons (over 1,000 kilotons) za sasa ni tofauti na ile atomic bomb (15 kilotons) ya 1945 Hiroshima.
 
kwa kifupi ni kwamba :
nuclear weapons =uranium elements(heavy metal which decay with specific half life slowly )
during their decay they emit high energy radiation that destroy living organism cells.......
in the living organism cells there is organelles in the nucleus that posses DNA materials, ......

radiation emitted by these elements while in their decay can penetrate living organism cells and change their nature.....
shortly are very harmful and takes long time to last.
take an examples of less energy radiation of X-rays on the bodies of organism, and not advised to take regularly....

let end here
Hapa sasa umeelezea au unaandika notes kutoka katika Abot , kwasababu Kama kwel unaelewa unaelezea kwa kuswahili lakin ulichoandika wewe kila mtu akienda kuangalia atasoma
 
Inawezekana mzee ni noma kwa nuclear kwa vitendo ndo maana analindwa na UN ili asifundishe hii kitu kwa wengine.

Mwingine alikuwa marehemu Pius Mwandu(R.I.P)
Hii ni kweli? Kwamba dr bilali analindwa na UN?
 
ata mimi napenda kiswahili kama wewe ndugu yangu, sema maarifa haya hayana kiswahili, nianze kusoma sijui ata kiswahili chake course hiyo....
kwa mfano kuna professional term hapo ambazo kwa lugha ya bibi zangu na wako...halflife=muda utakaotumika kiasi halisi cha mwanzo kujimega hadi nusu yake,
decay= kuvunjika vunjika kwa vitu vya mionzi au radioactive material...
kiswahili ngumu kuelezea atomic physics
.... Ha ha ha! Ukiona hivyo kuna kukariri kwingi kuliko kuelewa japo unaweza kuwa ulikuwa na A's flat! Ukielewa kitu kwa maana ya kukielewa nje, ndani, hakuna lugha itakupiga chenga kukifafanua kwa lugha hiyo alimradi unaielewa hiyo lugha. Ukishaona "chomekea chomekea" nyingi kuna walakini.
 
Hizi strategic nuclear weapons (over 1,000 kilotons) za sasa ni tofauti na ile atomic bomb (15 kilotons) ya 1945 Hiroshima.
... kwa hiyo kuna uwezekano hata rubani atakayedondosha bomu la nyuklia la sasa naye akayeyukia huko huko angani au? Kama hayo madude ni hatari kwa kiwango hicho hivi ni ya kazi gani?
 
Nyukilia ni kwa ajili ya kuangamiza ama kufuta, madhara yake hayaelezeki.

Hii dunia kila nchi ingekuwa na nyuklia tungeheshiiana sana.
 
Hapa sasa umeelezea au unaandika notes kutoka katika Abot , kwasababu Kama kwel unaelewa unaelezea kwa kuswahili lakin ulichoandika wewe kila mtu akienda kuangalia atasoma
... jamaa kanakili (copy) vijimstari kutoka kwenye Abbott na University Physics eti naye anafafanua! Kazi kweli kweli.
 
Kwa tecknolojia ya leo, nuclear ni hatari si kwa huko mbali tu, hata huku.
Ni hatari adi uku theoritically, ila practically sio kivile
In a nuclear war most countries wata depend on ICBMs na fighter jets kurusha makombora yao, na huwez ICBMs zina limitation of weight, so huwez beba such big bombs kwenye ICBM
Tsar bomba yenyewe ilkuwa 27 tons

Na most nuclear tests zimefanyika apaapa duniani kwenye isolated areas remember
 
Kwa wale waliosoma physics na chemistry tunaomba msaada wenu kuhusu hizi silaha za nuclear ambazo Russia amekuwa akitishia mara Kwa mara kwamba anaweza kuzitumia.
JE, zikitumika usalama wa Dunia utakuwaje? JE, usalama wa Russia utakuwaje? Uwezo wa nuclear wa Russia na USA ukoje. Juzi trump katamba kwamba USA wana most advanced nuclear weapons kuliko taifa lolote.
Usiogope mwana, hizo ni kelele za mbwa Koko, namtumbo, Seoul, singida.... huko kote Kuna uranium chanzo Cha Hilo bomu la nuclear ila tunaishi salama tukiipigia ccm kura .....

Ila tukiongea ukweli hizo uranium zikichakwatwa zinakuwa deadly mbaya! achana na hiyo kitu, omba zisitumiwe ni mbaya kuliko bomu lililotumiwa Hiroshima!
.... Ni mwisho wa ustaarabu, kama Kuna watakaobaki wata badilika mpangilio wa gene zao... tusiombe itokee.

Shetani mbane mapumbu Putin, wanao tuendelee kupiga gambe.

Baanedi Lete BIA nyingine.
 
Ninacho kumbuka Mimi ni kwamba gram 1 ya uranium(radioactive element),Ina zalisha nishati(energy) sawa na Tani kumi za makaa ya mawe(coal).
Sasa fikiria bomu la nuclear ambalo kimsingi ndio hizo radioactive element,likilipuliwa kutakuwa na madhara kiasi gini?

Tusiombee Vita vya nuclear kutokea hapa duniani.

Kule Japan (Hiroshima) nasikia mpakaleo Kuna watu bado wanazaliwa vilema.
 
kwa kifupi ni kwamba :
nuclear weapons =uranium elements(heavy metal which decay with specific half life slowly )
during their decay they emit high energy radiation that destroy living organism cells.......
in the living organism cells there is organelles in the nucleus that posses DNA materials, ......

radiation emitted by these elements while in their decay can penetrate living organism cells and change their nature.....
shortly are very harmful and takes long time to last.
take an examples of less energy radiation of X-rays on the bodies of organism, and not advised to take regularly....

let end here

Tatizo lako unakalili article unaileta tu apa,
Elezea kwa bby uelewa kama msomi na si kuchukua article ambayo mtu kaelezea kwa maono yake
Ata nipokuwa shule nilkuwa spend walim wanaokalili na ukipindisha article kidogo tu anachanganyikiwa
 
Hao kama kufumuana wafumuane tu ili vita ya 4 ya dunia ikitokea silaha ziwe fimbo na mawe ilitokea gharika na watu hawakuisha sembuse mabomu ambayo najua yatatua kwenye maeneo strategic eg ikitokea nuclear exchange btn Russia and US hakuna atakaerusha bomu morogoro wala dodoma watarushiana wenyewe tena kwenye anga la ulaya na northern Atlantic watashuhudia mabomu ya nuclear yakibamizana na kudondosha mabaki kwenye vichwa vya akina Olaf na Boris sisi tutapigwa na athari za kiuchumi na siyo moto wa mabomu wala mionzi hivyo tusitishane tena kama hii miamba ikifumuana dunia itakuwa salama kabisaaaa maana USA atakuwa katenguka kama siyo kuvunjika uti wa mgongo, magoti, shingo, ugoko, maini figo na moyo vitakuwa vimechanganyika hivyo atakuwa kitandani anatetea maisha yake.
 
Back
Top Bottom