NUCLEAR KWA UMEME WA TANZANIA LINI? uranium si tunayo! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

NUCLEAR KWA UMEME WA TANZANIA LINI? uranium si tunayo!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Hute, Aug 8, 2011.

 1. H

  Hute JF-Expert Member

  #1
  Aug 8, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 6,045
  Likes Received: 3,916
  Trophy Points: 280
  Wajameni, ni lini Tanzania tutakuwa na umeme wa nuclear, kwasababu tunazo resources zake yaani uranium ya kumwaga huko Ruvuma na Mtwara, mbona tungepata umeme mwingi sana tuwauzie hata hawa wakenye jamani?

  halafu, umeme wa bwawa mto Rufiji, lini? utagarimu hela ngapi na unaanza lini? angalia Brazil wanazo Kw kama 12,000, na Brazil hawana tatizo la umeme na wanauza karibia kwa latin america yote...maji ya Rufiji yanaenda tu baharini, watz wanaanglia tu hawana lolote, tutajikomboa lini wajameni?
   
 2. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #2
  Aug 8, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Mkuu, unaongea Kiingereza kigumu... Mi ni maimuna!
   
 3. N

  Ninaweza JF-Expert Member

  #3
  Aug 8, 2011
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 7,164
  Likes Received: 1,166
  Trophy Points: 280
  Binafsi siungi mkono umeme wa urani, kwa uzembe tulionao tunaweza teketea wooote, hebu angalia mabomu yalivo ua mbagala na gongo la mboto kwa sababu ya uzembe
   
 4. y

  yegomwamba Member

  #4
  Aug 8, 2011
  Joined: Dec 31, 2009
  Messages: 91
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  mkuu umenena,hebu tujaribu kutumia vyanzo vyetu tuondokane na tatizo la mgao wa umeme
   
 5. Sijali

  Sijali JF-Expert Member

  #5
  Aug 8, 2011
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 2,054
  Likes Received: 405
  Trophy Points: 180
  Ili kuweza kutoa umeme kutoka nguvu za nuklia, inabidi uwe na wanasayansi waliobobea na wana physikia si chini ya elfu tano (Scientists). Pia uwe na angalau bilioni mbili za dola.....kuanzia tu.
  Kama wanasayansi si wako, gharama itakuwa mara tano ya hapo.
  Nadhani tungeanz na umeme wa kinyesi ingekuwa inaelekea!
   
Loading...