Ndio tulivo walimwengu, hapo ata angeshinda ben pol bado washabiki wa Alikiba wangekuja kuponda kuwa moyo mashine haikustahili kuwa video bora, kitu kingine huwezi kushinda kama huna kura, naamini walimpigia kura ben pol ukitoa yeye basi ni watu wake wa karibu, ila wote wanaolalamika ata jinsi ya kupiga kura tu hawajui ila maneno sasa milion na kidogo
Wizkid mtv amebeba tunzo kama 4 na watu tulisema anastahili kwakuwa alikuwa na mwaka mzuri sana, sasa kwa kigezo hicho hicho Alikiba amekuwa na mwaka mzuri sana tofauti na ben, kama alistahili kuwa msanii bora wa kiume basi hakuna cha ajabu kushinda hizo zingine, wengine watasema sheta alistahili ilmradi tu Ali aonekane hakustahili hizi team msanii pinzani akifanya vzr wanahamia upande mwingine kukosoa