Ntv Kenya - Wimbo wa 'aje haukustahili video bora ya mwaka

Ilipaswa achukue diamond japo hakuwa mshiriki.stupid uyo alioongea

Alipaswa alinganishe video zilizokuwepo kwenye ushindani sio ambazo hazikuwepo.
 
Tuzo gani unaenda kuchukua fomu kama unataka kushiriki Miss Temeke.
hata hyo ya kunominee inafata nini mbona wakali wengi tu wanaachwa ? mtu achukue fomu raia tuamue kuwe na nominees hata elfu raia tuamue
 
Kwani Kenya wao ndio wana roho nzuri sana au ndio taifa linasolema ukweli?! Kama hata hawajui ni video gani inastahili kushinda ya Diamond why waseme yeye ndio alistahili?! Wana unafiki tu hao kama Diamonda angepata tuzo hiyo na awe ameshindanishwa na msanii wa kenya wangesema Diamond hakustahili ilitakiwa iende Kenya.
Si kweli mkuu mbona Navy kenzo kawabwaga Sauti Sol kwenye kundi bora na hawajasema hajastahili...zaidi wamepongeza tu kwamba Navy kenzo wako vizuri
 
Hakuna aliyependelewa kura zimeongea... mimi Binafsi nilimpigia kura king kiba nawashangaa wanaosema amependelewa
 
Back
Top Bottom