Hata Gaddafi alitumia Sharia. Kutokana na Wikipedia: The law of Libya has historically been influenced by Ottoman, French, Italian, and Egyptian sources. Under the Great Socialist People's Libyan Arab Jamahiriya, Libya has moved towards a legal system based on sharia, but with various deviations from it.kwani gadaffi alikuwa hatumii sharia kama source ya legislation?
naomba kujua hilo wakuu..
Wamarekani watakoma!Good movement!
Mkuu Samahani suala la Libya usilichanganishe na Suala la Muungano wetu Baina Tanganyika na Unguja. Usituchanganye tunazungumzia future ya Libya baada ya kuondoka Dikteta Kanal Qadafi, hatuzungumzii Suala la Muungano wetu. Ukitaka kuzungumza suala la Muungano wa Tanganyika na Unguja kafunguwe Thread yako tafadhali.Yaani hili manaliona kwa wenzenu? wahenga walisema ukiona mwenzio ananyolewa tia maji, sasa hapa kwetu juzi tu umesikia mbunge anasema waisilamu wa bara wanaonewa hawaruhusiwi kuona bint wa miaka 13, sasa na hawa wakijitenga(kuvunja muungano) kama wanavyotaka si utasikia wanataka sharia, after all serikali yao ni ya Kiisilamu.
Hata Gaddafi alitumia Sharia. Kutokana na Wikipedia: The law of Libya has historically been influenced by Ottoman, French, Italian, and Egyptian sources. Under the Great Socialist People's Libyan Arab Jamahiriya, Libya has moved towards a legal system based on sharia, but with various deviations from it.
Na hata wakati Gaddafi alipochukua hatamu aliahidi kutumia Sharia : When Muammar al-Gaddafi came to power in the Libyan Revolution, he promised to reinstate sharia law and abrogate imported laws which contradicted Islamic values....In 1977, the Libyan government promulgated the Declaration of People's Power, which superseded the constitution; this also stated that the Qur'an was the source of legislation for Libya. - Wikipedia
Angalizo: Si kwamba nawatetea rebels lakini ni vizuri tusikurupuke na kutaka kumwona Gaddafi kama vile alikuwa malaika flani!
Wewe vipi? Which support are you talking about? Eti "bahati yako nipo karibu na wao". Mbona unaongea kama limbukeni. Huna haja ya kutueleza hayo!Askari umeona support yako ilichozaa/ Bahati yako nipo karibu na wao huku ningeandika sana. Gadfi angekuwa anatumia hiyo sharia du mbona haya yasingetolea na kamwe asingekuwa rafili wa US au Uk at one time
Sharia Law = kukata mikono, kupiga mawe? Poleni sana wana-Libya!
Sharia Law = kukata mikono, kupiga mawe? Poleni sana wana-Libya!