NTC: Sharia to be source of legislation

Viper

JF-Expert Member
Dec 21, 2007
3,663
1,384
Head of Libya's National Transitional Council (NTC) has called on the Libyan nation to build a democratic state, in which Sharia will be main source of legislation.

Addressing a cheering crowd of thousands in the center of the capital, Tripoli on Monday, Mustafa Abdul Jalil urged the revolutionary forces to avoid any reprisal attacks on the remnants of fugitive ruler Muammar Gaddafi, Reuters reported on Tuesday.

"We need to open the courts to anyone who harmed the Libyan people in any way. The judicial system will decide," he told the crowd, adding that the Islamic Sharia law would be the basis of legislation under the new government.

Source - PressTV - NTC: Sharia to be source of legislation 

ndetichia

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
27,772
6,530
kwani gadaffi alikuwa hatumii sharia kama source ya legislation?
naomba kujua hilo wakuu..
 
Chupaku

JF-Expert Member
Oct 15, 2008
1,091
399
Nadhani kwa hilo NATO wataelewa sasa rebels ni kina nani na watawasaidia kujenga a democratic state (unlike Ghadafi's) under sharia laws. Hongereni sana. Nilisema haya yatatokea sasa wa Libya ndo wamejiamulia aina ya Serikali wanayoitaka. Si mmesema rebels ndo wa Libya wenye uchungu na nchi yao? USA and UK - you are yet to see things. Kiranga kitatoka Libya kitakuja majumbani mwenu. Wa Libya watawalaumu milele. Shame on you-all rats and snakes!
 
Askari Kanzu

JF-Expert Member
Jan 7, 2011
4,600
1,225
kwani gadaffi alikuwa hatumii sharia kama source ya legislation?
naomba kujua hilo wakuu..
Hata Gaddafi alitumia Sharia. Kutokana na Wikipedia: The law of Libya has historically been influenced by Ottoman, French, Italian, and Egyptian sources. Under the Great Socialist People's Libyan Arab Jamahiriya, Libya has moved towards a legal system based on sharia, but with various deviations from it.

Na hata wakati Gaddafi alipochukua hatamu aliahidi kutumia Sharia : When Muammar al-Gaddafi came to power in the Libyan Revolution, he promised to reinstate sharia law and abrogate imported laws which contradicted Islamic values....In 1977, the Libyan government promulgated the Declaration of People's Power, which superseded the constitution; this also stated that the Qur'an was the source of legislation for Libya. - Wikipedia

Angalizo: Si kwamba nawatetea rebels lakini ni vizuri tusikurupuke na kutaka kumwona Gaddafi kama vile alikuwa malaika flani!
 
mluga

JF-Expert Member
Oct 8, 2010
676
214
Yaani hili manaliona kwa wenzenu? wahenga walisema ukiona mwenzio ananyolewa tia maji, sasa hapa kwetu juzi tu umesikia mbunge anasema waisilamu wa bara wanaonewa hawaruhusiwi kuona bint wa miaka 13, sasa na hawa wakijitenga(kuvunja muungano) kama wanavyotaka si utasikia wanataka sharia, after all serikali yao ni ya Kiisilamu.
 
Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
41,026
30,671
Yaani hili manaliona kwa wenzenu? wahenga walisema ukiona mwenzio ananyolewa tia maji, sasa hapa kwetu juzi tu umesikia mbunge anasema waisilamu wa bara wanaonewa hawaruhusiwi kuona bint wa miaka 13, sasa na hawa wakijitenga(kuvunja muungano) kama wanavyotaka si utasikia wanataka sharia, after all serikali yao ni ya Kiisilamu.
Mkuu Samahani suala la Libya usilichanganishe na Suala la Muungano wetu Baina Tanganyika na Unguja. Usituchanganye tunazungumzia future ya Libya baada ya kuondoka Dikteta Kanal Qadafi, hatuzungumzii Suala la Muungano wetu. Ukitaka kuzungumza suala la Muungano wa Tanganyika na Unguja kafunguwe Thread yako tafadhali.
 
Kidzude

JF-Expert Member
Jul 14, 2011
4,427
1,355
Hata Gaddafi alitumia Sharia. Kutokana na Wikipedia: The law of Libya has historically been influenced by Ottoman, French, Italian, and Egyptian sources. Under the Great Socialist People's Libyan Arab Jamahiriya, Libya has moved towards a legal system based on sharia, but with various deviations from it.

Na hata wakati Gaddafi alipochukua hatamu aliahidi kutumia Sharia : When Muammar al-Gaddafi came to power in the Libyan Revolution, he promised to reinstate sharia law and abrogate imported laws which contradicted Islamic values....In 1977, the Libyan government promulgated the Declaration of People's Power, which superseded the constitution; this also stated that the Qur'an was the source of legislation for Libya. - Wikipedia

Angalizo: Si kwamba nawatetea rebels lakini ni vizuri tusikurupuke na kutaka kumwona Gaddafi kama vile alikuwa malaika flani!

Askari umeona support yako ilichozaa/ Bahati yako nipo karibu na wao huku ningeandika sana. Gadfi angekuwa anatumia hiyo sharia du mbona haya yasingetolea na kamwe asingekuwa rafili wa US au Uk at one time
 
Askari Kanzu

JF-Expert Member
Jan 7, 2011
4,600
1,225
Askari umeona support yako ilichozaa/ Bahati yako nipo karibu na wao huku ningeandika sana. Gadfi angekuwa anatumia hiyo sharia du mbona haya yasingetolea na kamwe asingekuwa rafili wa US au Uk at one time
Wewe vipi? Which support are you talking about? Eti "bahati yako nipo karibu na wao". Mbona unaongea kama limbukeni. Huna haja ya kutueleza hayo!
 
Viper

JF-Expert Member
Dec 21, 2007
3,663
1,384
sidhani kwamba ghadafi alikuwa anatumia sharia.... coz alikuwa anaweka walinzi mabody gurd wa kike... wenzetu hawa mtoto wa kike hawezi akawa mlinzi ... yangu macho...

lakini kama walibya wameamua inabidi NATO waje kuheshimu maamuzi yao
 
njiwa

JF-Expert Member
Apr 16, 2009
12,041
4,958
Sharia Law = kukata mikono, kupiga mawe? Poleni sana wana-Libya!

wakifanya makosa sheria lazima ichukuwe mkondo wake... watoa pole .....Kwani sheria zingine hakuna kunyongana... ???! wawapi weye ??! mara ngapi kibaka anachomwa moto..?
 
EMT

Platinum Member
Jan 13, 2010
14,485
15,211
Libya's legal and governmental structure is based on two constitutional documents: the Constitutional Proclamation of December 1969 and the Declaration of the Establishment of the People's Authority, enacted in March 1977. The Declaration embodies many of the ideas expressed in Col. Qadhafi's political tract, the Green Book. According to the civil code, the hierarchy of legal sources is, in descending order: legislation, principles of Islamic law, custom and principles of natural law and equity.

Reflecting its diverse heritage, the Libyan legal system is influenced by Islamic law as well as civil legal regimes in Italy and France. Under Ottoman rule, one court system addressed secular matters while another was responsible for deciding disputes involving religious law. The secular courts were organized according to the Napoleonic Code. Islamic judges applied shari'a law in the religious courts. There is no provision for judicial review in Libya's constitutional arrangement.

GlobaLex - Libya’s Legal System and Legal Research
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom